Mungu angekwambia leo hii niombe utakacho, ungeomba nini?

Mungu angekwambia leo hii niombe utakacho, ungeomba nini?

Kwa mawazo yako unafikiri kweli MUNGU anaweza kufanya hivyo?, sawa akikufungulia kisha kesho ukanywa vikakupoteza unafaidakaje? na maisha yako ya baadaye?
Kama yeye mwenyewe Mungu amemfungulia,atatoka wapi wa kumpoteza? Mungu amkubalie tu ombi lake, mimi mwenyewe navitaka.Sh.3,900 nilikuwa napata hivi 3,nikivitwanga hivyo hata tamthilia ya kichina isiyo tafsiriwa nilikuwa naielewa.
 
Kuna mambo ambayo MUNGU amewakataza viumbe wake, sasa ukimuomba ni sawa na kuwa unampinga na kumwambia sikubaliani na katazo lako, hivyo yeye hukupa/hukuacha upotelee kwenye madhara ha hicho ulichokiomba. mfano Warumi 1.26-27 "wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao. Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa."

Kwamaana ya hilo andiko ukiomba kitu ambacho MUNGU amekukatazaa, atakupa iliupotee kwenye akili zako, na kama ni kuangamia utakuwa umejiangamiza mwenyewe bila msaada wowote toka kwake, maana umekataa katazo lake na umeamua kutumia utashi wako.
 
Ningeomba Mungu anipe mke mwema namimi niwe mume na baba bora kwa mke na watoto wangu. Atupe maisha yenye amani na upendo na mwisho twende kwake juu.
 
Ningeomba Mungu anipe mke mwema namimi niwe mume na baba bora kwa mke na watoto wangu. Atupe maisha yenye amani na upendo na mwisho twende kwake juu.
amina bila shaka akujalie haja ya moyo wako
 
Back
Top Bottom