andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
Kama yeye mwenyewe Mungu amemfungulia,atatoka wapi wa kumpoteza? Mungu amkubalie tu ombi lake, mimi mwenyewe navitaka.Sh.3,900 nilikuwa napata hivi 3,nikivitwanga hivyo hata tamthilia ya kichina isiyo tafsiriwa nilikuwa naielewa.Kwa mawazo yako unafikiri kweli MUNGU anaweza kufanya hivyo?, sawa akikufungulia kisha kesho ukanywa vikakupoteza unafaidakaje? na maisha yako ya baadaye?