Mungu asaidie mwaka kesho nifikishe miaka yangu 22 nikiwa mzima Wa afya

Mungu asaidie mwaka kesho nifikishe miaka yangu 22 nikiwa mzima Wa afya

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Hakuna kitu nakipenda kama uzima Wa afya na akili timamu. Nina muomba sana aliye juu asaidie mwaka kesho nifikishe miaka yangu 22 nikiwa mzima Wa afya njema

Toka nikiwa mdogo nilikuwaga nimepanga siku nikifikisha miaka 22 kuna jambo kubwa nitende had dunia ibaki mdomo waz hivyo naomba mwaka kesho nifikishe miaka hiyo nikiwa mzima kabisa


London boy
Screenshot_20180918-202118.jpg
 
Back
Top Bottom