Mungu asante mwaka wa 21 huu, sijawahi kuugua malaria

Mungu asante mwaka wa 21 huu, sijawahi kuugua malaria

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
Kwa kweli namshukuru Mungu sana Baba wa majeshi... Nasema hivi kwa sababu ni yeye aliyenipa hii afya niliyonayo sasa. Wakati bara la Africa likipambana vikali na ugonjwa wa malaria, mimi kwa upande wangu kwa kweli natoa ushuhuda kwamba ni mwaka wa 21 huu tangu nitibiwe malaria kwa mara ya mwisho, wakati ule mama ananiambia nilikiwa na miaka 3 tu na nilipata malaria kali sana.

Sasa ningependa kujua kwa wataalam kama kuna matatizo yeyote ya kukaa muda mrefu bila kuugua?


We don’t need more money, we don’t need greater success or fame, we don’t need the perfect body or even the perfect mate. Right now, at this very moment, we have a mind, which is all the basic equipment we need to achieve complete happinessDalai Lama
 
Hawa ndo binaadamu bwana. Mwisho wa siku watakufuru tu! Maneeenah.
 
shukuru mungu, omba isitokee coz ikitokea unaondoka
 
Immunity zako ni nyingi kiasi kwamba zimeanza kumwagika....zitamwagika zitakwisha na ndio utakuwa mwanzo wa kuondoka...!!!!! USIOGOPE kijana utaishi miaka MIA MOJA.
 
Nakusikitikia kwakua ww humjui vzr mwenyezi mungu kwani dakika yoyote anaweza kugeuza matokeo ss ni lazima ufikirie mara mbili kabla hujamdhihaki
 
Back
Top Bottom