Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Kwa kweli namshukuru Mungu sana Baba wa majeshi... Nasema hivi kwa sababu ni yeye aliyenipa hii afya niliyonayo sasa. Wakati bara la Africa likipambana vikali na ugonjwa wa malaria, mimi kwa upande wangu kwa kweli natoa ushuhuda kwamba ni mwaka wa 21 huu tangu nitibiwe malaria kwa mara ya mwisho, wakati ule mama ananiambia nilikiwa na miaka 3 tu na nilipata malaria kali sana.
Sasa ningependa kujua kwa wataalam kama kuna matatizo yeyote ya kukaa muda mrefu bila kuugua?
We dont need more money, we dont need greater success or fame, we dont need the perfect body or even the perfect mate. Right now, at this very moment, we have a mind, which is all the basic equipment we need to achieve complete happinessDalai Lama