Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
..... mimi nadhani bibilia iliandikwa kwa ajili ya watu waliokuwepo miaka hiyo. Kwa sasa mambo yamebadikika sana na naweza kusema haifit kwa ulimwengu wa sasa.
Kwa mfano, mtoto aliyezaliwa kwa mama kupandikizwa mbegu za mtu asiyemjua. Huyu mtoto asiyemjua baba laana inampataje? Dunia kama nilivyosema, mabadiliko ni mengi. Watu sasa wana uthubutu wa kuhoji. Na % kubwa ya majibu hayamalizi utata. Miaka 100 mbele toka leo watu wote tuliopo duniani ambao ni zaidi ya 8bln hatutakuwepo tena. Ambao watazaliwa toka hapo sijui kama kuna atakayekuwa anahangaika na haya makanisa na misikiti. Yatabaki majumba ya makumbusho.