Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ukiisoma Biblia kama gazeti la nipashe ndivyo ilivyo lakini ukiongozwa kwa msaada wa Roho Mtakatifu Biblia ni rahisi sana kuielewa na kuizingatia kivitendo.Biblia ni Fiction stories, Hadithi za kusadikika.
Biblia ingekuwa kitabu cha Mungu kisingekuwa na "mkanganyiko" wa kutofautiana maudhui.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unachofanya wewe ni kuitetea Biblia kwa vile ni kitabu chako cha dini na imani yako.Ukiisoma Biblia kama gazeti la nipashe ndivyo ilivyo lakini ukiongozwa kwa msaada wa Roho Mtakatifu Biblia ni rahisi sana kuielewa na kuizingatia kivitendo.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
You already know.Kiranga atasema mthibitishe kwanza kama huyo Mungu yupo kweli na sio hadithi tu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
You already know.
Yani mfumo wa haki wa Mungu umepitwa haki na mfumo wa haki waliojiwekea watu tu, hapo kweli utaamini Mungu yupo?
Sheria za watu zinakataza mtoto kuhukumiwa kwa makosa ya mzazi.
Halafu Mungu anahukumu hivyo.
Huyo Mungu au stories tu?
Huyo Mungu hayupo, ni hadithi za watu tu.Sio sheria za Mungu, sheria ya hicho kitabu ndio kimepitwa na wakati endelea kuwa makini mkuu
Kwani mzazi akifa na deni, mtoto hawajibiki kulipa?You already know.
Yani mfumo wa haki wa Mungu umepitwa haki na mfumo wa haki waliojiwekea watu tu, hapo kweli utaamini Mungu yupo?
Sheria za watu zinakataza mtoto kuhukumiwa kwa makosa ya mzazi.
Halafu Mungu anahukumu hivyo.
Huyo Mungu au stories tu?
Kwa sheria gani na mantiki ipi?
Tuongelee huku uraiani kwetu, hata wewe babako akiwa amekopa fedha nyingi tu hapo maeneo mnayoishi halafua bahati mbaya akafa (huu ni mfano tu), wewe hautawajibika kulipa? Nimehudhuria mazishi mengi, mara baada ya kuzika, ndugu wa marehemu wanauliuza kama kuna mtu anayemdai marehemu. Na zaidi ya hayo, mtu akikopa fedha, anaandikisha mdhamini wake (guarantor), ikitokea mkopaji kafa, huyu atawajibika!Kwa sheria gani na mantiki ipi?
Hayo mara nyingi ni mambo ya kidini, hususan Kiislamu.Tuongelee huku uraiani kwetu, hata wewe babako akiwa amekopa fedha nyingi tu hapo maeneo mnayoishi halafua bahati mbaya akafa (huu ni mfano tu), wewe hautawajibika kulipa? Nimehudhuria mazishi mengi, mara baada ya kuzika, ndugu wa marehemu wanauliuza kama kuna mtu anayemdai marehemu. Na zaidi ya hayo, mtu akikopa fedha, anaandikisha mdhamini wake (guarantor), ikitokea mkopaji kafa, huyu atawajibika!
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ndo basi wazungu hadi sasa wangekuwa wanalipa madhambi waliyowatendea na kuendelea kuwatendea waafrika lakini mbona ipo tofauti kwao na ndo kwanza dini bado wanaongoza wao na bado wanatuburuza na Mungu amekaa kimya au ili swala lina apply kwa waafrika tu?
UNATUDANGANYA WAKATI MUNGU MWENYEWE HAJAWAHI KUKAA NA WEWE??ACHA UCHAWA..Punguza jazba kijana
UNATUDANGANYA WAKATI MUNGU MWENYEWE HAJAWAHI KUKAA NA WEWE??ACHA UCHAWA..
ETI NA HUYU ANA POINT,ACHA UCHAWA KIJANA KWAIYO UNAJILAZIMISHA KUWA MUNGU NI MSHIKAJI WAKO??KAMA NI MSHIKAJI WAKO MBONA UTUAMBII YUPO WAPI??ALAFU UKIBISHANA NAMI UWE UNAPOINT MAANA NITAKUAIBISHA MDA HUUHili sio jukwaa la kupayuka kama hauna point unajua sehemu za kwenda kiongozi, hatuhitaji comment za 0% unatujazia wingi bwanah mdogo tafuta chaka ukajisaidie tafadhali, tukana mara ya mwisho ukakojoe ukalale
Hapo sasaKizuri zaidi mwenye mamlaka na uhai wako hasemi neno kwa kuwa lina ukweli ndani yake la hasha! Bali akishasema ndiyo kashatenda, hivyo basi ni swala la muda tu kutimia alichokinena utake usitake maana Mungu huwa hapangiwi nini cha kufanya na Binadamu.
MATHAYO 24:35
Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
mbinu ni zipi za kuvunja hizo laana?Dhambi za kuabudu miungu mingine zinasababisha laana ya magonjwa, mfano magonjwa ya sickle cell anemia, cancer, etc husafiri kizazi hadi kizazi.
Kuna watu wana mbinu za kuvunja laana hizo na magonjwa yanaachia