realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Aug 2, 2024 #1 Kwa tulioyaona Matendo ya Mungu kwetu na jinsi alivyotuvusha katika hali ngumu tunajua atatenda sawasawa na Mapenzi yake. Amina
Kwa tulioyaona Matendo ya Mungu kwetu na jinsi alivyotuvusha katika hali ngumu tunajua atatenda sawasawa na Mapenzi yake. Amina
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,766 Reaction score 8,959 Aug 2, 2024 #2 Kumetokea nini kwani cute?
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Aug 2, 2024 #3 Ni kama unashindana mwenyewe kufungua uzi kila saa.