Hakuna laana ya mwanadamuMungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi
"Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume."
Kwa ibada, maombi, heshma MUNGU atatuwezesha
View attachment 1986322
Mungu awajalie upendo wa moyoni uupendo upitao upendo wowote, upendo utakaowapa wanawake amani
HASIRA ZA WANAWAKE ZINAVYOGEUKA KUWA LAANA KWA WANAUME WAO
Hakuna laana ya mwanadamu
Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi
"Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume."
Kwa ibada, maombi, heshma MUNGU atatuwezesha
Mungu awajalie upendo wa moyoni uupendo upitao upendo wowote, upendo utakaowapa wanawake amani
HASIRA ZA WANAWAKE ZINAVYOGEUKA KUWA LAANA KWA WANAUME WAO
Kwa uelewa wangu wa maandiko hapa haijasema eti wakitamka inakuwa laana, bali ni onyo kwa wanadamu wanaopenda kuwasemea mabaya wanadamu wenzao na kuonyesha jinsi watu wanavyotumia midomo kuleta migongano na mabaya kwenye jamii, hivyo yatupasa midomo tuitumie kunena mazuri na sio mabaya.YAKOBO 3: 5-10
Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao hujivuna majivuno makuu. Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana.
Nao ulimi ni moto; ule ulimwengu wa uovu, ule ulimi, umewekwa katika viungo vyetu, nao ndio uutiao mwili wote unajisi, huuwasha moto mfulizo wa maumbile, nao huwashwa moto na jehanum.
Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu.
Bali ulimi hakuna awezaye kuufuga; ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.
Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wanadamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu
Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haifai mambo hayo kuwa hivyo.
ZABURI 10: 7
Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu
Soma maandikoImeandikwa wapi, Mwanamke atamlinda Mwanaume?