Mwendo kasiNina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
pole sana hapo bado harufu za mbupu soksi meno midomo etc etc hatari sana sipati picha kuna na za papuchi pia looohNina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Pole sanaNina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Kwahiyo miguu uliweka wapi mkuu au ndio ulilipia boda ikabeba miguu alafu kitambi na kiwiliwili kikabaki kwenye daladala?Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu.
Pafyumu ya 200😂 duhKuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho.
Sasa tumepaka pafyumu za mafungu na wewe mbona umevaa shanga za bukubukuNina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Asante mkuu tushazoea.Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Daladala ni usafiri wa, kimaskini sana, tunapanda kwa, shida tu, Jana nilipanda hz special hire, elfu mbili,Morocco mpaka tegeta,level seat! Kipupwe cha kutosha,akishuka MTU ndio anapanda MTU, laiti usafiri wa, umma ungekuwa hv, ingekuwa poa, lakini ile ya kusimama, Kariakoo nyuki, umesimama, aaah ni mateso matupuNina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.