Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba
Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu.
Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana. Tusijiinamie tena kwa jambo lolote lile Mungu yapokee maombi ya haja za mioyo zetu utakutendee wema wako katika hili tulitamanilo katika maisha yetu nasi tuwe furahani tunaomb
Eee Mungu tupe furaha na amani mioyoni mwetu, tukutanishe na wale uliowabebesha matamanio yetu nasi furahani iwe ndani mwetu .