Mungu baba tusamehe tumelewa hii Dunia kuna watu wanakeraaaaa!
Wanangu eeeh kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa au wewe ukifanikiwa nini napungukiwa? Kumbe siku hizi wachawi sio wazee!
Daaah yaani wakuu, wana wa siku hizi wana pigo za kiduazi kinoma yani mtu anakusnitch afu siyo poa. Daaah, asiyependa ufanikiwe ni vavayo. Ila kama riziki ni yangu nitaipata hata wakibana.
Mungu baba tusamehe tumekunywa, kuna watu hii Dunia wanakera.