johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Amefanya nini?ni Doroth
Amefanya nini?
Ni jambo jema!BARAZA LA MAWAZIRI: Rais John Magufuli, amemteua Dk. Dorothy Gwajima kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Pia, amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
Amemuacha Ummy? Aisee!
Ninayemfikiria kuhusu nini mkuu........ Hahahaaaa!sio Gwajima unayemfikiria
hmmNikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.
Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.
Wote tuseme Ameni.
Maendeleo hayana vyama!
Ok thank youNikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.
Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.
Wote tuseme Ameni.
Maendeleo hayana vyama!
Umebugi MeenNikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.
Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.
Wote tuseme Ameni.
Maendeleo hayana vyama!
BARAZA LA MAWAZIRI: Rais John Magufuli, amemteua Dk. Dorothy Gwajima kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Pia, amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
Hiyo ni michezo ya Halima, angalia Mnyika anavyolia leo hii!
Wewe umeshageuzwa mara ngapi bwashee!!Wewe kibwengo 👿 utaphirwa bire, punguza shobo *****
Huyu ana uhusiano gani na Gwajiboy?
Hawana uhusiano wowote mkuu!Huyu ana uhusiano gani na Gwajiboy?
Yupo mambo ya mazingira na nn cjui huko....Ummy yupo kwenye baraza ila sio wizara ya Afya.