Mungu endelea kumbariki Askofu Dr Gwajima akatende uponyaji wa Roho na mwili pia!

Mungu endelea kumbariki Askofu Dr Gwajima akatende uponyaji wa Roho na mwili pia!

Hiyo ni michezo ya Halima, angalia Mnyika anavyolia leo hii!
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni Halima alichapisha kura fake kwa nini hajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
 
Nikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.

Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.

Wote tuseme Ameni.

Maendeleo hayana vyama!
Shule muhimu sana hasa ukisoma ulaya ambako kila mtu ana uelewa

Sikutegemea kabisa kama unasifia bila kufanya analysis

Josephat au Doroth Gwajima
 
Uponyaji wa Roho na Mwili?
Kwani anaumwa?
 
Ushetani tu hapo hakuna Cha Mungu Wala Yesu
 
Nikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.

Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.

Wote tuseme Ameni.

Maendeleo hayana vyama!
Johnthebaptist, huwajui watu wenye Mungu kabisa
Siyo kila anayejiita au anayeitwa askofu ana Mungu ndani.
NGWAJIMA HANA MUNGU KABISAAAAA,
Mtawajua kwa matendo yao,hapo ndipo unapokwama ndg kupajua.
 
Back
Top Bottom