Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni Halima alichapisha kura fake kwa nini hajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?Hiyo ni michezo ya Halima, angalia Mnyika anavyolia leo hii!
Mkuu siyo Josephat Gwajima ni Mama anaitwa Doroth GwajimaNi jambo jema!
Sio huyu Gwajima wako. MATAGA mlikwepa umande 😡Nikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.
Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.
Wote tuseme Ameni.
Maendeleo hayana vyama!
Shule muhimu sana hasa ukisoma ulaya ambako kila mtu ana uelewaNikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.
Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.
Wote tuseme Ameni.
Maendeleo hayana vyama!
Hata sijui mkuu
Johnthebaptist, huwajui watu wenye Mungu kabisaNikiwa mkazi na mpiga kura wa jimbo la Kawe namshukuru Mungu kwa ajili ya mbunge wetu mpya Dr Josephat Gwajima.
Mungu endelea kumbariki na kumtangulia.
Wote tuseme Ameni.
Maendeleo hayana vyama!