Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

Toa make up alafu eeeee
Wanawake ni wazur ila baadh yao ni mapimbi
 
Beira umeanza tena ngoja shemeji ajue mi sitakuja kuamua
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aiseeView attachment 669319
Wa kawaida tu huyo mbona.
 
Unatumia stayle hii kutaka kujua kama dem wako ni mzur,yani watu waseme wanamuonaje ahhahahaha...hana uzul wowote hujawahi kuona vyuma wew...
 
Tushakula sana watoto kama hao mkuu..af nilivyomshenz,picha za madem zangu na ma x huaga sifuti,..nakaaga nasema daah,hiv kumbe nishawai piga mtoto mkal kama huyu eeh,.nachekaaga sana,zingne za ma x naziibaga kwenye insta zao au whatsapp,hahah,.am soo proud of maself kwakwel
Safi sana wewe ndo ngosha sasa
 
Back
Top Bottom