Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

Toa make up alafu eeeee
Wanawake ni wazur ila baadh yao ni mapimbi
 
Beira umeanza tena ngoja shemeji ajue mi sitakuja kuamua
 
Wa kawaida tu huyo mbona.
 
Unatumia stayle hii kutaka kujua kama dem wako ni mzur,yani watu waseme wanamuonaje ahhahahaha...hana uzul wowote hujawahi kuona vyuma wew...
 
Safi sana wewe ndo ngosha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…