Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aiseeView attachment 669319
kumbe una alteza
 
bhana wangu siku haya mambi ya mtandao sura nzuri shape sasa ......[emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aiseeView attachment 669319
Wa kawaida sana huyu
 
mkuu nimeongea na dalali hapa kuhusu bei ya gari ulilotaja hapo ...kwa bei alionitajia basi yako itakua ya almasi maana sio kwa kuitaja taja hivo...
 
Back
Top Bottom