Mungu hakufanya makosa kumfanya mwanaume kuwa kichwa katika jamii zetu

Mungu hakufanya makosa kumfanya mwanaume kuwa kichwa katika jamii zetu

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hapo zamani za kale Mungu alidhihiri mamlaka na uwepo wake kwenye nafsi za wanaume na ndiomana alifanya mwanaume amuoe mwanamke ili aendeshe familia kwa mfano wa Mungu.

Je, endapo jamii au familia inaongozwa na mwanamke huyu Mungu hubadirisha utaratibu na kanuni za umungu wake?

Mungu atabaki kuwa Mungu jamii inayokaidi kanuni na misingi ya Mungu ikumbuke kisa Cha Delilah na Samson, Kisa Cha Adam na Hawa. Hio jamii haiwezi kubaki salama.

Nawaacha na tafakuri ya kimungu.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Back
Top Bottom