Wasalaam,
Wanaume na wanawake ni zao la Mungu baba wa mbinguni, aliye muumba wa vitu vyote, ukuu wa Mungu na vielelezo vyake ameumbiwa mwanaume.
Hivyo nawakumbusha wanajamii na watu wa mataifa Duniani kuzingatia yote kwa kufuata muundo wake Mungu.
Itokeapo ukamfanya mke kuwa Mkuu wa kaya zenu basi tarajia mtikisiko mkubwa sana kwenye jamii husika.
Asanteni πππ
Wadiz