MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Nawafokea kwa karipio kali watu wote wanao tumia maandiko kuwahadaa walimwengu
Wapo watu wanaodhani ni ujanja au uwerevu ku-take advantage ya ujinga wa wenzao kwa kuwahadaa kwamba wao ni mitume au manabii au madalali au mawakala au wasemaji wa Mungu
Wanakusanya makundi makubwa ya watu wapumbavu na kuwachosha kwa ibada ndefu na kuwaaminisha kwamba wanawapa revelations au baraka za Mungu kwa imani ya kupata maisha ya furaha mbinguni au kwa njia ya kupata mali na heri hapa duniani.
Huu upumbavu umeenea kwa kasi na unachangamkiwa na watu wenye IQ ndogo wanao hadaa wajinga na wapumbavu wenzao. Unfortunately, nchi yetu ina mkusanyiko mkubwa zaidi wa watu wapumbavu na huo ndiyo mtaji wao.
Nawafokea tena kwa karipio kali zaidi. This nonsense must stop. Mungu hana wakala,dalali ama msemaji huku duniani. Mungu haitaji hao watu kufanya shughuli zake. Hao watu ni viumbe tena dhaifu na kiufupi hawana mastahili yoyote mbele za Mungu.
Maandiko yako wazi, muombe Mungu wako na atasikia maombi yako. Hautaji mtu wa kati. Makinika na chukua tahadhari.