mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ni hivi, hawa wanaojiita hayo majina wanajua kwamba mitume na manabii waliteswa na kupitia kwenye tanuru za moto. Sasa tuwapelekee moto kama hawataingia mitini?
Yesu wa Kenya anaenda kusulubishwa, manabii na mitume wa mchongo wakae kwa tahadhari
Amani iwe nanyi, Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea. Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia...www.jamiiforums.com
Hao wa udongo wako tangu enzi. Kapambane nao lakini usituambie tuachane na Mungu ati sababu ya hao wadanganyifu wachache
Ningekuheshimu kama ungesaidia wale wanaua watoto zao, wazazi wao, albino sababu ya kutafuta mafanikio. Vinginevyo nakuchukulia kama wewe ni agent wa Yule malaika wa sifa aliyetupwa kuzimu