HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Vyote vilihariniwa na wazungu bali kwa sasa vitarejea kwa kasi ,ukoloni kupitia divide and rule na assimilation viliua dini,mila na desturi zetu.Kama ambavyo watoto wanaenda shule kupata elimu ya ulimwengu wa kimwili lazima waende shule ya kiroho kupata elimu ya kiroho, kutoka kwa watu walichagua hilo kuwa fungu lao, yaani kuwa walimu wa kiroho.
Mama na baba wata play part yao lakini umuhimu wa shule mahususi unabaki pale pale.
Wageni wamejenga institutions zao, wameandika vitabu vyao, wengine shule zao ni kukremisha maelfu ya mistari tena sio kuwa kusoma, kwa kumsikiliza mwalimu, wanaona kutoa elimu kwa mdomo ni muhimu zaidi kuliko kwa maandishi, na wamefanikiwa kurithisha elimu kwa vizazi na vizazi kwa maelfu ya miaka (naongelea Wahindu ).
Institutions zetu waafrika ziko wapi? Maandishi yetu yako wapi? Utamaduni upi wa kiafrika unarithisha elimu isiyobadilika kutoka kizazi mpaka kizazi?
Hata waganda wenyewe simulizi lao la Kintu (binadamu wa kwanza) sijui kama wanalijua. Isingekua huyo mzungu kuliandika lingepotea!
Me I'm not against "mila na desturi" but there's nothing much there, especially spiritual knowledge! Or rather wanaoijua hawaoni umuhimu kuwapa wengine!
WAAFRIKA tutaanza kuandika na kurekebisha vyote vonavyotuhusu vilivyopotoshwa na wazungu MIZIMU itarudi kwa kasi na kusimama
"Time will tell"