Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa tusidanganyane

Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa tusidanganyane

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kumekuwa na ongezeko la manabii hapa nchini hao manabii walitabiliwa wapi na nani aliwatabiria kuwa watakuja kuwa manabii?
Hakuna popote kwenye maandiko ya torati hata angano la kale kwamba tizama tanzania atatokea nabii mnyakyusa akili kichwani wewe kanunue mafuta utajirishe manabii wa uongo hao
Majinga ni mengi sana hapa tz ukitaka utajiri wewe fungua kanisa tu.
Screenshot_20260729_233917_ChatGPT.jpg
Screenshot_20260729_233954_ChatGPT.jpg
Screenshot_20260729_233934_ChatGPT.jpg
 
Hawa manabii hawana nguvu yoyote ya kiungu. Wanatumia tu poverty and desperation za watanzania kama mtaji wao wa biashara.
 
Ukute Yesu alitabiri lkn haikuandikwa, maana biblia yenyewe imekiri kwamba laiti yoote aliyoyafanya na kuyafundisha ysngeandikwa vitabu vya ulimwengu visingetosha
 
Ukute Yesu alitabiri lkn haikuandikwa, maana biblia yenyewe imekiri kwamba laiti yoote aliyoyafanya na kuyafundisha ysngeandikwa vitabu vya ulimwengu visingetosha
Kwamba yesu alitabiri kuna nabii atakuja mnyakyusa wa uyole mbeya 😂 😂
 
Back
Top Bottom