Mungu hua anapitaga na wazaliwa wa Kwanza wa watu waovu

Mungu hua anapitaga na wazaliwa wa Kwanza wa watu waovu

Kwa usomaji wangu wa bibilia kila mtawala au mtu mwovu(Muuaji) alipotokea Mungu alianza kupita na mzaliwa wa kwanza kama namna ya kumuonya na kumfundisha.

Tulinde vizazi vyetu kwa kutenda mema!
Benson naona siku hizi umekuwa Mlokole. Mungu ni mwema sana
 
Aanze mapema ikimpendeza! Maana raia wengi waliopoteza ndugu zao, wanakisubiria hicho kisasi kwa hamu kubwa.
 
Mimi binafsi hili somo nalichukua nitajitahidi kumtendea haki kila binadamu kadri ya uwezo wangu.

Hata kama siwezi kumsaidia matatizo yake lakini kamwe sitamdhulumu haki zake
Kwa usomaji wangu wa bibilia kila mtawala au mtu mwovu(Muuaji) alipotokea Mungu alianza kupita na mzaliwa wa kwanza kama namna ya kumuonya na kumfundisha.

Tulinde vizazi vyetu kwa kutenda me
 
Back
Top Bottom