Uchaguzi 2020 Mungu humwinua mtu asiye na nguvu kuangusha ufalme

Uchaguzi 2020 Mungu humwinua mtu asiye na nguvu kuangusha ufalme

Haiingii akilini kumchagua Gwajima mtu wa hovyo mwenye matusi, dharau, mhuni, na mwenye kuhamasisha ukabila nchini. Ni mpumbavu tu ndio atamchagua huyu askofu wa wajinga.
Si kazi yangu kukuchagulia pumba na mchele coz ubwabwa unakula wewe.
 
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.

Walikuwepo akina Hitler, IDD Amin, Bashir wa Sudan, Hosni wa Misri, nk leo wapo wapi na ufalme wao upo wapi.

Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kumwangusha mtawala dhalimu, katili, mtesi na asiyethamini UHAI wa watu wake
Afu Kuna waovu wanaunga mkono huyu muuaji wanajiita watumishi. Pathetic!
 
Lissu anataka kuwaangusha watanzania kisha kuzamisha na kuipoteza Tanzania. Lissu amenukuliwa akitamka hayo hadharani. Jana katamka anataka watanzania tuishi katika zama za kikoloni, na siku zilizopita alitamka wazi kuwa Tanzania siyo lazima kuendelea kuwepo.

Kwa hiyo kumfananisha Lissu na Daudi na wengine uliowataja ni kujichumia dhambi na kujiletea uhasama dhidi ya watanzania wanaoipenda nchi yao kwa moyo wa dhati iwe jua iwe mvua!
...alisikika msukule akipayuka
 
Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.

Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao...
Amen, Amen Amen,
Yafanana mno na tukio la mwaka huu ,
CCM watafanya hilla nyingi mno kuzuia tamko la Aliejuu la anguko lao ,lakini haitimayakee watalamba mchanga.

''Lakini nchi ile kama viongozi wa dini hawakujitokeza hadharani na kuikemea CCM na ukatili wake,basi Itamwaga Damu za watu wake wengi na hatimae andiko la Mungu litatimia, lakiini watu wa dini wakitimiza wajibu wao, Mungu aliye mkuu atawakinga na damu zao kumwagwa ,na CCM itangoka bila ya damu hata tone u chache mno.''

Mungu ktk Qur-an akasema kumwambia Musa ''.. Usikhofu! Hakika wewe ndiye utakaye shinda.''- sura ya 20;aya68.

Quran 28:5. ''Na tukataka kuwafadhili walio dhoofishwa katika nchi hiyo na kuwafanya wawe Viongozi na kuwafanya ni watawala(warithi wa utawala uliopo).''

Maneno haya huwa hivyo kwa kila taifa lenye watu wanaokandamizwa kwa muda Mungu anaoamua hivyo. dalili za washindi Utokao kwa Mungu ni udhaifu wa wale wanao onewa na ubabe wa watawla kwa kila hali hapo Nguvu ya Mungu Huonekana

Ewe Mungu Mkuu muumba wa kila kitu, Ingoe CCM na mawakala wake na Uidhalilishe iwe duni na Mpe Ushindi Muadilifu Lisu na Maalim Sefu ili wasimamishe haki katika taifa lalko la Tanzania na iwe mfano kwa Dunia.

Ewe Mungu Mkuu wa wakuu, waongezee hofu wakubwa wa CCM waogope Umma.Na wabadilishe mitazamo wale walinzi wao ili wawageuke na Tume yaUchaguzi itazame kwa jicho lako kali la makemeo ili itende haki isiweze kughushi Matokeo

Amin Amin Amin
Hakika wewe Allah Ndie Mungu wa Ulimwengu huu na sisi ni viumbe wako ulitakalo kuwa Huwa.
 
Daudi hakuangusha ufalme wa Saul sababu Saul alikuwa mpakwa mafuta pia kama ilivyokuwa kwa Daudi ila useme alimuangusha Goliath
 
Hakuna nabii aliyekuwa na element za kishoga.
Tukutane October 28 na huyo nabii wenu Lissu andaene kabisa na pampers za kuvaa.
 
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu...
Duu, hizi sindano jamaa atarudi na maswali tena hapo??
 
Waileze dunia kamera zilienda wapi baada ya lile saga lakini pia Nani anaweza kuwaamrisha polisi wasiende kulinda bank crdb nmb halafu jioni bank inaibiwa kwaakili ndogo umfikiria nani kama first suspect.
Akirudi tupe taarifa, maana umepiga mule mule.
 
Back
Top Bottom