Uchaguzi 2020 Mungu humwinua mtu asiye na nguvu kuangusha ufalme

Uchaguzi 2020 Mungu humwinua mtu asiye na nguvu kuangusha ufalme

Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.

Walikuwepo akina Hitler, IDD Amin, Bashir wa Sudan, Hosni wa Misri, nk leo wapo wapi na ufalme wao upo wapi.

Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kumwangusha mtawala dhalimu, katili, mtesi na asiyethamini UHAI wa watu wake
Mungu atabaki kua Mungu.
 
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.

Walikuwepo akina Hitler, IDD Amin, Bashir wa Sudan, Hosni wa Misri, nk leo wapo wapi na ufalme wao upo wapi.

Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kumwangusha mtawala dhalimu, katili, mtesi na asiyethamini UHAI wa watu wake
Kuangusha utawala wa dola kama huu wa kwetu ni kazi ngumu sana. Mungu asaidie sana maana kwa kweli kuna kundi kubwa sana lisiloonekana nyuma ya utawala wetu. kuna majeshi yote na baadhi ya wanafiki wengi wanaojikomba kwa ajili ya kushibisha matumbo yao. Kwa maana hiyo haijawahi kuwa kazi rahisi hasa ukizingatia uoga wa watu wa nchi hii.

Hayo uliyoandika yanawezekana kwa wananchi jasiri kusema hapana uonevu tena na hapo Mungu anasaidia kushnda wadhalimu. Bila hivyo, tutaokolewaje hata kama Mungu anataka tuokolewe ikiwa hatuko tayari kwa wingi wa kutosha kusema na kuonyesha kwa dhat kuwa hatutaki kuonewa? Labda kwa Muujiza.
 
Huo ndo ujinga wako wakufananisha ushabiki wa mpira na wa kisiasa ambao una maslahi makubwa kwenye maisha yako.ata kama chama kinakupotosha unajiona mwenye akili kumbe huku tunakuchora nakukuona fala tuu na mental disturbed.
Kumbe wananchi hua mnawaona mafala ila hua tunajua mtaji wa ccm ni mambumbumbu wasiolewa mambo ila hicho kizazi kinaenda kufutika ndio akina nyie
 
Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.

Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao...
Kwanini tunapenda kumuingiza Mungu katika mambo ambayo hahusiki???
Ukiambiwa uthibitishe kuwa Chadeama ni mpango wa Mungu utaweza kweli?
 
Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.

Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao

Daudi aliinuliwa kumwangusha Mfalme Sauli

Daniel aliinuliwa kumwangusha Mfalme Nebukadreza

Mandela aliinuliwa kuuangusha utawala wa kikaburu na kibaguzi wa Afrika kusini

Nyerere aliinuliwa kuuangusha utawala wa kikoloni Tanzania

Lissu ameinuliwa kuuangusha utawala wa CCM ya Magufuli Tanzania

Mungu huinua na kuangusha tawala na falme kwa nyakati zake na majira yafaayo.

Lissu kama ilivyokuwa kwa wapakwa mafuta wengi mfano Nabii Musa, Nabii Yusufu, Mtume Muhammad, Nabii Daniel, Mfalme Daudi, Bwana Yesu, Mandela nk, ametokea uhamishoni,mafichoni, kizuizini au gerezani kuja kukamilisha unabii.

Ndugu zangu, hakika chama chetu kikongwe kimejaa propaganda za maji taka, makada walijitokeza na propaganda kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania,Lissu aliwathibitishia watanzania kuwa angerudi tu, wakabadili gia kuwa akirudi atakamatwa airport, Jamaa akarudi tena kwa kishindo wakashindwa kumkamata airport.

Wakasema Chadema haiwezi kumpa nafasi ya kugombea Urais maana Mbowe na Lema hawamtaki wanamtaka Lazaro, Chadema ikampa kugombea tena kwa kura nyingi sana. Wakasema tume lazima itamwengua maana ana kesi kwahiyo hatatoboa, akateuliwa kugombea.

Wakasema hana pesa za kufanya kampeni hawezi kuzunguka nchi nzima, leo yupo anazunguka kila kona tena kwa speed ya 5GB. Wakasema hata pata watu kwenye mikutano yake, sasa ni mafuriko.

Mgombea wao akawaambia wafuasi wake kwamba picha za mikutano ya Lissu ni za ku edit, wamegundua kuwa mgombea wao hakuwa sahihi wamekuja na propaganda mpya kuwa watu wanaojaa kwenye mikutano ya Lissu siyo wapiga kura kwa kuwa hawajajiandikisha ila wanafunzi na wale wanaojaa kwenye fiesta ndio wapiga kura. Hakika wajumbe wamezidi kuyeyuka na propaganda za maji taka. Mwaka huu kazi mnayo wajumbe,a.k.a makada a.k.a uvccm walioagizwa kujibu hoja.
 
Mungu hata siku moja hajawahi tuia nguvu kubwa kuweka utawala wake. Ona mfano wa goliath mtu wenye zama zote za vita lakini kaondolewa kwa kijiwe kilicho wekwa kwenye kikamba kidogo.
 
Kumbe wananchi hua mnawaona mafala ila hua tunajua mtaji wa ccm ni mambumbumbu wasiolewa mambo ila hicho kizazi kinaenda kufutika ndio akina nyie
Kwani kupona kwa lissu kwenye ile idadi ya risasi bado hujaamini kuwa yeye na chama chake ni mpango wa Mungu?
 
Jaman msimuhusishe Mungu na mambo yenu ya kipuuzi, ila umejaribu kumpamba vzr hahah
 
Majamaa Kwa ngonjera hayajambo...hakuna namna kubalini tuu kuwa CCM bado ipo sana kwenye siasa za nchi hii.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Bila wizi wa kura CCM hamtoboi.
Safari hii kura zikilindwa itabidi mkae benchi!
 
Majamaa Kwa ngonjera hayajambo...hakuna namna kubalini tuu kuwa CCM bado ipo sana kwenye siasa za nchi hii.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Bila wizi wa kura CCM hamtoboi.
Safari hii kura zikilindwa itabidi mkae benchi!
 
Hayo yote unayaongea ukiwa barabarani unadunda masaa yote kwa amani ata ukitaka adi saa nane za usiku kisa tuu ni mahaba yakutaka kuona mabadiliko ya uongozi,

lakini vyote ulivyovitaja havipo kwa JPM ata leo hii dunia inawashangaa kusikia watu wanakufa kwenye viroba kuwa ndo hoja ya kuonesha kuwa rais ndo muhusika kama vile hakuna raia wauwaji na wenye visasi na wenzao ,wakati watu huko duniani wao wanapigwa risasi mchana kweupe na mauji kama hayo yapo karibia kila nchi.ndo naana hakuna mzungu anayeongelea ujinga wenu.
kuna baadhi ya mambo mnatakiwa kujitathimi kwanza.
Natamani hata kesho Mh Lissu awe Rais na Jiwe lifikishwe mahakamani kwa maovu liliyoyatenda

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Bila wizi wa kura CCM hamtoboi.
Safari hii kura zikilindwa itabidi mkae benchi!
Zitalindwa na Polisi usiwe na shaka na miaka yote huwa zinalindwa mbona sema wagombea wenu huwa hawawaelezi ukweli kuwa mmepigwa kwenye uchaguzi.

Wananchi wana macho na wanayaona maendeleo kasoro nyie wavaa miwani ya mbao.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Kosa kubwa la Magufuri ni kuruhusu yeye kuabudiwa kusifiwa kutukuzwa hadi kuitwa YESU.

Kumwaga Damu za watu.

Anga lote limemkataa Magufuli mbingu zote zimefunga
 
Back
Top Bottom