uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Si kazi yangu kukuchagulia pumba na mchele coz ubwabwa unakula wewe.Haiingii akilini kumchagua Gwajima mtu wa hovyo mwenye matusi, dharau, mhuni, na mwenye kuhamasisha ukabila nchini. Ni mpumbavu tu ndio atamchagua huyu askofu wa wajinga.
Endelea kuota ndoto MkuuYusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.
Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao...
Punguani kwenye ubora wako.akili za kiroboto hizi
lumumba zamu hii mmekuwa vichaa humu mnaandika uharo tu humuPunguani kwenye ubora wako.
Afu Kuna waovu wanaunga mkono huyu muuaji wanajiita watumishi. Pathetic!Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.
Walikuwepo akina Hitler, IDD Amin, Bashir wa Sudan, Hosni wa Misri, nk leo wapo wapi na ufalme wao upo wapi.
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kumwangusha mtawala dhalimu, katili, mtesi na asiyethamini UHAI wa watu wake
...alisikika msukule akipayukaLissu anataka kuwaangusha watanzania kisha kuzamisha na kuipoteza Tanzania. Lissu amenukuliwa akitamka hayo hadharani. Jana katamka anataka watanzania tuishi katika zama za kikoloni, na siku zilizopita alitamka wazi kuwa Tanzania siyo lazima kuendelea kuwepo.
Kwa hiyo kumfananisha Lissu na Daudi na wengine uliowataja ni kujichumia dhambi na kujiletea uhasama dhidi ya watanzania wanaoipenda nchi yao kwa moyo wa dhati iwe jua iwe mvua!
Ondoa utopolosiku zilizopita alitamka wazi kuwa Tanzania siyo lazima kuendelea kuwepo.
Amen, Amen Amen,Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.
Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao...
AmenAmen, Amen Amen,
Yafanana mno na tukio la mwaka huu ,
CCM watafanya hilla nyingi mno kuzuia tamko la Aliejuu la anguko lao ,lakini haitimayakee watalamba mchanga...
Na ulio fitinikaUtawala dhalimu wa CCM mpya
God for everybody seriously...jitu halijui hata bibliaMtatoa mifano yote lakini hamtoboi ng'ooo "every one for him/her self but God for everybody.
Duu, hizi sindano jamaa atarudi na maswali tena hapo??Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu...
Akirudi tupe taarifa, maana umepiga mule mule.Waileze dunia kamera zilienda wapi baada ya lile saga lakini pia Nani anaweza kuwaamrisha polisi wasiende kulinda bank crdb nmb halafu jioni bank inaibiwa kwaakili ndogo umfikiria nani kama first suspect.
TUNDU LISSU: MSIYEMPENDA KAJAYusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.
Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao...
Kuna watu hawamuelewi Mungu ndio maana wanajimilikisha kwa maslahi yao.Mtatoa mifano yote lakini hamtoboi ng'ooo "every one for him/her self but God for everybody.