Mungu atabaki kua Mungu.Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.
Walikuwepo akina Hitler, IDD Amin, Bashir wa Sudan, Hosni wa Misri, nk leo wapo wapi na ufalme wao upo wapi.
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kumwangusha mtawala dhalimu, katili, mtesi na asiyethamini UHAI wa watu wake
Kuangusha utawala wa dola kama huu wa kwetu ni kazi ngumu sana. Mungu asaidie sana maana kwa kweli kuna kundi kubwa sana lisiloonekana nyuma ya utawala wetu. kuna majeshi yote na baadhi ya wanafiki wengi wanaojikomba kwa ajili ya kushibisha matumbo yao. Kwa maana hiyo haijawahi kuwa kazi rahisi hasa ukizingatia uoga wa watu wa nchi hii.Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.
Walikuwepo akina Hitler, IDD Amin, Bashir wa Sudan, Hosni wa Misri, nk leo wapo wapi na ufalme wao upo wapi.
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kumwangusha mtawala dhalimu, katili, mtesi na asiyethamini UHAI wa watu wake
AMEEENYusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.
Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao...
Kumbe wananchi hua mnawaona mafala ila hua tunajua mtaji wa ccm ni mambumbumbu wasiolewa mambo ila hicho kizazi kinaenda kufutika ndio akina nyieHuo ndo ujinga wako wakufananisha ushabiki wa mpira na wa kisiasa ambao una maslahi makubwa kwenye maisha yako.ata kama chama kinakupotosha unajiona mwenye akili kumbe huku tunakuchora nakukuona fala tuu na mental disturbed.
Kwanini tunapenda kumuingiza Mungu katika mambo ambayo hahusiki???Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.
Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao...
Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.
Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao
Daudi aliinuliwa kumwangusha Mfalme Sauli
Daniel aliinuliwa kumwangusha Mfalme Nebukadreza
Mandela aliinuliwa kuuangusha utawala wa kikaburu na kibaguzi wa Afrika kusini
Nyerere aliinuliwa kuuangusha utawala wa kikoloni Tanzania
Lissu ameinuliwa kuuangusha utawala wa CCM ya Magufuli Tanzania
Mungu huinua na kuangusha tawala na falme kwa nyakati zake na majira yafaayo.
Lissu kama ilivyokuwa kwa wapakwa mafuta wengi mfano Nabii Musa, Nabii Yusufu, Mtume Muhammad, Nabii Daniel, Mfalme Daudi, Bwana Yesu, Mandela nk, ametokea uhamishoni,mafichoni, kizuizini au gerezani kuja kukamilisha unabii.
Ushaidi upo ndio maana mlizitoa cctvWakikuambia toa ushahidi unaweza ukautoa?
Kwani kupona kwa lissu kwenye ile idadi ya risasi bado hujaamini kuwa yeye na chama chake ni mpango wa Mungu?Kumbe wananchi hua mnawaona mafala ila hua tunajua mtaji wa ccm ni mambumbumbu wasiolewa mambo ila hicho kizazi kinaenda kufutika ndio akina nyie
Bila wizi wa kura CCM hamtoboi.Majamaa Kwa ngonjera hayajambo...hakuna namna kubalini tuu kuwa CCM bado ipo sana kwenye siasa za nchi hii.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Bila wizi wa kura CCM hamtoboi.Majamaa Kwa ngonjera hayajambo...hakuna namna kubalini tuu kuwa CCM bado ipo sana kwenye siasa za nchi hii.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Natamani hata kesho Mh Lissu awe Rais na Jiwe lifikishwe mahakamani kwa maovu liliyoyatendaHayo yote unayaongea ukiwa barabarani unadunda masaa yote kwa amani ata ukitaka adi saa nane za usiku kisa tuu ni mahaba yakutaka kuona mabadiliko ya uongozi,
lakini vyote ulivyovitaja havipo kwa JPM ata leo hii dunia inawashangaa kusikia watu wanakufa kwenye viroba kuwa ndo hoja ya kuonesha kuwa rais ndo muhusika kama vile hakuna raia wauwaji na wenye visasi na wenzao ,wakati watu huko duniani wao wanapigwa risasi mchana kweupe na mauji kama hayo yapo karibia kila nchi.ndo naana hakuna mzungu anayeongelea ujinga wenu.
kuna baadhi ya mambo mnatakiwa kujitathimi kwanza.
Inamaana mkuu wewe hujui kuwa Chadema na Lissu ni mpango wa Mungu?Kwanini tunapenda kumuingiza Mungu katika mambo ambayo hahusiki???
Ukiambiwa uthibitishe kuwa Chadeama ni mpango wa Mungu utaweza kweli?
Zitalindwa na Polisi usiwe na shaka na miaka yote huwa zinalindwa mbona sema wagombea wenu huwa hawawaelezi ukweli kuwa mmepigwa kwenye uchaguzi.Bila wizi wa kura CCM hamtoboi.
Safari hii kura zikilindwa itabidi mkae benchi!
Unahitaji ushahidi!?Ondoa utopolo
Staili yenu inachekesha sana mnaposhindwa kujibu hoja...Ha ha ha haaaaa!!!...alisikika msukule akipayuka
Mungu yupi huyo mshabiki wa vyama vya siasa?πππInamaana mkuu wewe hujui kuwa Chadema na Lissu ni mpango wa Mungu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mtatoa mifano yote lakini hamtoboi ng'ooo "every one for him/her self but God for everybody.