Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,189
Hahahahaaaa! Mkuu kama sijakupata vile!!!!
Unamanisha swali halina jibu? ama?
Kama jibu lipo.. Basi ni la kufarijiana.
^^
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaa! Mkuu kama sijakupata vile!!!!
Unamanisha swali halina jibu? ama?
Kama jibu lipo.. Basi ni la kufarijiana.
^^
Inategemea uwezo wa akili yako unaishia wapi. We are not the same young man.JF bhana... Ajabu kuna watu watakuja na majibu.
^^
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga
1. When we die...Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga
Kuna maisha baada ya haya ya leo?? Kama yapo ni sawa, yasipokuwepo ndo itakuwa taaaabu kwa walodhani kuna nafasi nyingine na hivyo wakajinyima kwa ajili ya "umilele" ujao. Mie ninachojua maisha ni haya and once it is over, it is over like those who died some million years ago!Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga
How did you know that?Kuna maisha baada ya haya ya leo?? Kama yapo ni sawa, yasipokuwepo ndo itakuwa taaaabu kwa walodhani kuna nafasi nyingine na hivyo wakajinyima kwa ajili ya "umilele" ujao. Mie ninachojua maisha ni haya and once it is over, it is over like those who died some million years ago!
Kipi rahisi kuamini kuwa kifo ndo mwisho au kujilazimisha kuamini kuwa yapo maisha mengine? Tunapokufa tunaomboleza (hatushangilii) kwa kuwa huo ndo mwisho. Mengine ni mbwembwe za kufarijiana ili maisha yaendelee. Namshangaa jamaa anauliza roho zinawekwa "bank gani"???How did you know that?
Kama jibu lipo.. Basi ni la kufarijiana.
^^
1. When we die...
a. Our body return to the dust
b. Our spirits go to HADES, the realm of the "unseen"
2. This realm of departed spirits (i.e., Hades) is divided into
three parts...
a. PARADISE, the place of rest for the righteous
b. TARTARUS, the place of torment for the wicked
c. And a GULF, separating the two
3. During this interim period between death and the resurrection, the righteous...
a. Are separated from God and Christ
b. For God and Christ are "in heaven", and Paradise is in Hades, not heaven
4. Such is the state of the "disembodied spirits" until the Resurrection
a. At which time the spirits of both the wicked and the righteous will be united with their resurrected bodies
b. At this time will occur the Judgment, after which...
1) The RIGHTEOUS will spend eternity with God
2) The WICKED will spend eternity in "HELL" (Grk., gehenna)
NOTE:
BUT NOW, AFTER JESUS' ASCENSION, THE "INTERMEDIATE STATE" OF THE
RIGHTEOUS IS DIFFERENT...
1. Paradise is now in HEAVEN, not HADES
2. The hope of the righteous is to spend the "intermediate state" in the presence of the Lord, awaiting the resurrection and the Judgment
Inategemea uwezo wa akili yako unaishia wapi. We are not the same young man.
Unauliza humu Jf kwani kina waliokufa wakarudi wakajua hizo Mungu anaziweka wapi ?
Can science define spirit? Is like trying to detect water by using metal detector. Only fools like non theists will do that.Kumbe kwa mtazamo wa imani na misingi ya kanisa!!
Nilitegemea jibu la kisayansi .
^^
Age has nothing to do with comprehension of life after death. By the way, you don't need experience to understand something.I admit my lack of experience due to age.. But if I were to ask, How do you know what happens after death?
^^
Evidence please.Kipi rahisi kuamini kuwa kifo ndo mwisho au kujilazimisha kuamini kuwa yapo maisha mengine? Tunapokufa tunaomboleza (hatushangilii) kwa kuwa huo ndo mwisho. Mengine ni mbwembwe za kufarijiana ili maisha yaendelee. Namshangaa jamaa anauliza roho zinawekwa "bank gani"???
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga