Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu?

Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu?

Roho haiwezi kuhifadhiwa popote coz roho sio kitu
Haina umbo haichukui nafasi wala haina uzito
Tunaweza kuhifadhi vitu tu Na roho sio kitu
So roho ndio mungu Mwenyewe coz Na mungu sio kitu
Roho Na mungu vipo Katika formlessness
 
Kwanza roho ni pumzi tu, na ni pumzi ya Mungu. Biblia inasema mtu anapokufa mwili unarudi mavumbini ulikotoka na pumzi hurudi kwa aliyeitoa ambae ni Mungu kwa hyo pumzi umrudia Mungu mwenyewe! anazitunza wapi yeye ndiye ajuaye!
 
Si useme hujui?
 
Bible itakua na jibu

"Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Abrahamu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Abrahamu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake." Luka 16:22-23.
 
Usiongelee haya mariwaya ya kiislam na kikristo, yanasababisha watu wanatokwa akili na wanachinjana kama kuku kwa imani tu bila kuona!

Kwanini umeamua kuita mariwaya.we unadhani neno ROHO where is originated from for the firsttime?

Alafu unaongelea kuchinjana kama kuku utadhani wewe uliwahi kuchinjwa,sasa wewe usietaka mariwaya embutueleze neno roho limetokea wapi?
 
Back
Top Bottom