Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamfukuzaje mdhamini?Simba wamemkosea sana kocha
Pumbavu zao!
Wakufukuza alikuwa Mo na kale ka demu kake
Kwan mkataba wa Gomez ulikuwa unasemaje tuanzie hapo? Vijana achek kulopoka vitu msivyovijua jamaa aliwekewa lengo la kuifikisha semi fina caf msimu huu hata makund hajafika ulitaka uongoz wa simba ufanye nn juu yake na ni kipengele kiko kwenye mkataba.Simba wamemkosea sana kocha
Pumbavu zao!
Wakufukuza alikuwa Mo na kale ka demu kake
Mkataba mwenzetu umeusomea wapi ukajua kuwa kuna hiko kipengele?Kwan mkataba wa Gomez ulikuwa unasemaje tuanzie hapo???vijana achek kulopoka vitu msivyovijua jamaa aliwekewa lengo la kuifikisha semi fina caf msimu huu hata makund hajafika ulitaka uongoz wa simba ufanye nn juu yake na ni kipengele kiko kwenye mkataba.
Saa moja uskuMechi ni usiku au jioni?
thanks mkuuSaa moja usku
Hayo malengo ni batili na feki kwakuwa Wachezaji alionao msimu huu sio kama wale aliofika nao robo final msimu uliopita. Pesa waliyopata kwa kuuza Chama na miquissone ingetumika kununua wachezaji wazuri wenye kaliba kama au zaidi ya waliouzwa. Walitumia sehemu ndogo ya hela Ile kuleta makinda (kanoute, sakho na Banda ambayo yanahitaji kulelewa.Kwan mkataba wa Gomez ulikuwa unasemaje tuanzie hapo???vijana achek kulopoka vitu msivyovijua jamaa aliwekewa lengo la kuifikisha semi fina caf msimu huu hata makund hajafika ulitaka uongoz wa simba ufanye nn juu yake na ni kipengele kiko kwenye mkataba.
siyo hela ya kuuza wachezaji tu Bali hata hela waliyopewa kuingia makundi na robo ,Simba imeingia makundi na robo wamepata hela ,miquison na chama wameuzwa Simba umepata hela nzuri halafu tunaletewa magarasa mengi ya bei rahisi ambayo hayawezi kureplace nafasi za hao wawiliHayo malengo ni batili na feki kwakuwa Wachezaji alionao msimu huu sio kama wale aliofika nao robo final msimu uliopita. Pesa waliyopata kwa kuuza Chama na miquissone ingetumika kununua wachezaji wazuri wenye kaliba kama au zaidi ya waliouzwa. Walitumia sehemu ndogo ya hela Ile kuleta makinda (kanoute, sakho na Banda ambayo yanahitaji kulelewa.
Nilishasemaga humu kuwa wachezaji wazuri na wenye vipaji kutoka Africa magharibi na Kaskazini huwa wanachukuliwa na timu za Ulaya, hawaji Simba kamwe. Ukiona wamekuja Simba ujue kuwa hawana skills za kutisha.
nakufahamisha malale hamsini ni mwanachama wa simba sahau polisi kuifunga simbaGomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
kwani walizopigwa juzi na dodoma Jiji ni polisi au prison?Kwa moto waliokuwa nao Polisi Tanzania tangu ligi ianze, wakicheza chini ya kiwango chao halisi cha sasa, basi wataambulia sare!
Ila kusema ule ukweli, ushindi uko mikononi mwao.
Wale ni Prisons walioko mkiani mwa msimamo wa Ligi! Polisi Tanzania wanakabana koo na Yanga kwenye nafasi ya kwanza, huku wakiongoza kwa tofauti tu ya magoli.kwani walizopigwa juzi na dodoma Jiji ni polisi au prison?
Utopolo msije kupoteanaKwa moto waliokuwa nao Polisi Tanzania tangu ligi ianze, wakicheza chini ya kiwango chao halisi cha sasa, basi wataambulia sare!
Ila kusema ule ukweli, ushindi uko mikononi mwao.