Mungu ibariki Police Tanzania FC imlipie kisasi Gomez

Wale ni Prisons walioko mkiani mwa msimamo wa Ligi! Polisi Tanzania wanakabana koo na Yanga kwenye nafasi ya kwanza, huku wakiongoza kwa tofauti tu ya magoli.

Yaani wameshinda mechi zote tatu za ligi walizocheza.
basi usiku kazi ipo mtu mzima atavuliwa nguo wasipokuwa makini
 
Wale ni Prisons walioko mkiani mwa msimamo wa Ligi! Polisi Tanzania wanakabana koo na Yanga kwenye nafasi ya kwanza, huku wakiongoza kwa tofauti tu ya magoli.

Yaani wameshinda mechi zote tatu za ligi walizocheza.
maajabu hayaishi unaweza kushangaa akampiga polisi nyingi tu na hizo hasira za kutolewa club bingwa na kupigwa biti
 
Yaani kocha ameshindwa kufikia malengo aliyokubali kuyafikia yeye mwenyewe halafu unalalamika kaonewa?

Kaonesha uzembe wa hali ya juu sana. Aende na ashukuriwe kwa mema yake.
Hamkushangilia wakati mhuni Morrison akitembea juu ya mpira siku Ile mkidhani kila kitu kwenda makundi tayari?
 
Watanzania bwana barua inajieleza imeridhia ombi la kujiuzuru la aliekua kocha ,na yeye mwenyewe amesema yeye ndio ameomba kuwajibika ,alafu bado tunalasema simba imemfukuza kocha tulitaka simba umng'ang'anie utajuaje kama kapata sehem bora zaid,yule si mswahili kama angetimuliwa hasingeficha ukwel jaman
 
Yaani kocha ameshindwa kufikia malengo aliyokubali kuyafikia yeye mwenyewe halafu unalalamika kaonewa?

Kaonesha uzembe wa hali ya juu sana. Aende na ashukuriwe kwa mema yake.
Gomez alikuwa jukwaani siku ile, anahusikaje na kufungwa goli 3 siku ile? Nadhani Gomez ameonewa vinginevyo labda mseme amefukuzwa kwa kosa la kukaa jukwaani (kukosa vyeti) wakati wa mechi.
 
Watanzania bwana barua inajieleza imeridhia ombi la kujiuzuru la aliekua kocha ,na yeye mwenyewe amesema yeye ndio ameomba kuwajibika ,alafu bado tunalasema simba imemfukuza kocha tulitaka simba umng'ang'anie utajuaje kama kapata sehem bora zaid,yule si mswahili kama angetimuliwa hasingeficha ukwel jaman
Duu Wacha izooo!! Mara TU baada ya mechi kumalizika Mwamed katwit kuwa kocha aondoke as soon as possible, Kuna nini tena hapo? Hivi kwanini wajinga hawaishi duniani? Hivi mnaamini kuwa kocha ndiye kaomba ajiuzilu.
 
Mo ajatwit kocha aondoke ,alisema alieusika na matokeo aya hawajibike alafu zingatia ile mechi gomez hakua ktk benchi anausika vp na matokeo yale kuna watu moja kwa moja wanahusika kuanzia pale ktk bench na wachezaji na bila kupepesa macho mechi ile lawama zote za wachezaji wenyewe na ndio maana kocha ameamua kujitoa muhanga,kuna sababu ambazo nimemfanya aondoke si matokeo yale tu mojawapo ikiwemo vyeti vyake,kuondoka kwa kocha si kwa kufukuzwa tu kisa kufungwa sven aliondoka kaingiza timu ktk na bado akavunja mkataba ,na mm nakuambia amin usiamin kama angeshinikizwa kuondoka lazma angelisema ukwel ,kumbuka uchebe si ilikua kama mbona hakuficha ktu
 
Naunga mkono maombi kwa kusema aamen[emoji120][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
Hizi thread zenu zinazidi kutuchanganya sisi Makolo jamani[emoji24]
 
Kwa kuwa hawa Makolo ni watani zangu na wote tumezaliwa Kariakoo leo nawaombea draw tu.. Leo msifungwe maana kuna hatari ya kusambaratika kwa timu kama mtafungwa tenaLeo.
Full time 1-1
 
Hapo ndipo wahenga walisema Shukran ya Punda ni mateke.

Mungu yupo
 
Mo ajatwit kocha aondoke ,alisema alieusika na matokeo aya hawajibike alafu zingatia ile mechi gomez hakua ktk benchi anausika vp na matokeo yale kuna watu moja kwa moja wanahusika kuanzia pale ktk bench na wachezaji na bila kupepesa macho mechi ile lawama zote za wachezaji wenyewe na ndio maana kocha ameamua kujitoa muhanga,kuna sababu ambazo nimemfanya aondoke si matokeo yale tu mojawapo ikiwemo vyeti vyake,kuondoka kwa kocha si kwa kufukuzwa tu kisa kufungwa sven aliondoka kaingiza timu ktk na bado akavunja mkataba ,na mm nakuambia amin usiamin kama angeshinikizwa kuondoka lazma angelisema ukwel ,kumbuka uchebe si ilikua kama mbona hakuficha ktu
Kwa kocha kuamua kujiajibisha twit ya mo imeishia hapo? Mo alimaanisha akina nani walisababisha matokeo Yale waondoke, wachezaji? Barbra? Mwijaku? Mangungu? au yupi? Hivi kuondoka kwa kocha kutamaliza kile alichokikisudia mo kwenye twit yake?
 
Mo ajatwit kocha aondoke ,alisema alieusika na matokeo aya hawajibike alafu zingatia ile mechi gomez hakua ktk benchi anausika vp na matokeo yale kuna watu moja kwa moja wanahusika kuanzia pale ktk bench na wachezaji na bila kupepesa macho mechi ile lawama zote za wachezaji wenyewe na ndio maana kocha ameamua kujitoa muhanga,kuna sababu ambazo nimemfanya aondoke si matokeo yale tu mojawapo ikiwemo vyeti vyake,kuondoka kwa kocha si kwa kufukuzwa tu kisa kufungwa sven aliondoka kaingiza timu ktk na bado akavunja mkataba ,na mm nakuambia amin usiamin kama angeshinikizwa kuondoka lazma angelisema ukwel ,kumbuka uchebe si ilikua kama mbona hakuficha ktu
Hiyo sio kweli, vyeti Hana kweli lakini kama Simba ingeshinda angefukuzwa kwa sababu ya vyeti? Wacha utani wako wewe.
 
Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
Pole boss...ramli yako imebugi...jaribu kwenye mechi zijazo.
 
Kama ni namna Ile ya upataji wa matokeo, tabu Yao Itakuwa palepale. Siku hizi Kagere anavua shati akishangilia BAO anapocheza hata na Dodoma jiji.
 
Back
Top Bottom