basi usiku kazi ipo mtu mzima atavuliwa nguo wasipokuwa makiniWale ni Prisons walioko mkiani mwa msimamo wa Ligi! Polisi Tanzania wanakabana koo na Yanga kwenye nafasi ya kwanza, huku wakiongoza kwa tofauti tu ya magoli.
Yaani wameshinda mechi zote tatu za ligi walizocheza.
maajabu hayaishi unaweza kushangaa akampiga polisi nyingi tu na hizo hasira za kutolewa club bingwa na kupigwa bitiWale ni Prisons walioko mkiani mwa msimamo wa Ligi! Polisi Tanzania wanakabana koo na Yanga kwenye nafasi ya kwanza, huku wakiongoza kwa tofauti tu ya magoli.
Yaani wameshinda mechi zote tatu za ligi walizocheza.
Timu ni ya polisi sio ya malale, na wenye timu watakuwepo uwanjani pia.Bakufahamisha malale hamsini ni mwanachama wa simba sahau polisi kuifunga simba
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hamkushangilia wakati mhuni Morrison akitembea juu ya mpira siku Ile mkidhani kila kitu kwenda makundi tayari?Yaani kocha ameshindwa kufikia malengo aliyokubali kuyafikia yeye mwenyewe halafu unalalamika kaonewa?
Kaonesha uzembe wa hali ya juu sana. Aende na ashukuriwe kwa mema yake.
Gomez alikuwa jukwaani siku ile, anahusikaje na kufungwa goli 3 siku ile? Nadhani Gomez ameonewa vinginevyo labda mseme amefukuzwa kwa kosa la kukaa jukwaani (kukosa vyeti) wakati wa mechi.Yaani kocha ameshindwa kufikia malengo aliyokubali kuyafikia yeye mwenyewe halafu unalalamika kaonewa?
Kaonesha uzembe wa hali ya juu sana. Aende na ashukuriwe kwa mema yake.
Duu Wacha izooo!! Mara TU baada ya mechi kumalizika Mwamed katwit kuwa kocha aondoke as soon as possible, Kuna nini tena hapo? Hivi kwanini wajinga hawaishi duniani? Hivi mnaamini kuwa kocha ndiye kaomba ajiuzilu.Watanzania bwana barua inajieleza imeridhia ombi la kujiuzuru la aliekua kocha ,na yeye mwenyewe amesema yeye ndio ameomba kuwajibika ,alafu bado tunalasema simba imemfukuza kocha tulitaka simba umng'ang'anie utajuaje kama kapata sehem bora zaid,yule si mswahili kama angetimuliwa hasingeficha ukwel jaman
Mwekezaji hafukuzwi hovyo hovyo.Simba wamemkosea sana kocha..
Pumbavu zao!
Wakufukuza alikuwa Mo na kale ka demu kake
Mo ajatwit kocha aondoke ,alisema alieusika na matokeo aya hawajibike alafu zingatia ile mechi gomez hakua ktk benchi anausika vp na matokeo yale kuna watu moja kwa moja wanahusika kuanzia pale ktk bench na wachezaji na bila kupepesa macho mechi ile lawama zote za wachezaji wenyewe na ndio maana kocha ameamua kujitoa muhanga,kuna sababu ambazo nimemfanya aondoke si matokeo yale tu mojawapo ikiwemo vyeti vyake,kuondoka kwa kocha si kwa kufukuzwa tu kisa kufungwa sven aliondoka kaingiza timu ktk na bado akavunja mkataba ,na mm nakuambia amin usiamin kama angeshinikizwa kuondoka lazma angelisema ukwel ,kumbuka uchebe si ilikua kama mbona hakuficha ktuDuu Wacha izooo!! Mara TU baada ya mechi kumalizika Mwamed katwit kuwa kocha aondoke as soon as possible, Kuna nini tena hapo? Hivi kwanini wajinga hawaishi duniani? Hivi mnaamini kuwa kocha ndiye kaomba ajiuzilu.
@changaule akikujibu nitag mkuu.Mkataba mwenzetu umeusomea wapi ukajua kuwa kuna hiko kipengele?
Hizi thread zenu zinazidi kutuchanganya sisi Makolo jamani[emoji24]Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
Kwa kocha kuamua kujiajibisha twit ya mo imeishia hapo? Mo alimaanisha akina nani walisababisha matokeo Yale waondoke, wachezaji? Barbra? Mwijaku? Mangungu? au yupi? Hivi kuondoka kwa kocha kutamaliza kile alichokikisudia mo kwenye twit yake?Mo ajatwit kocha aondoke ,alisema alieusika na matokeo aya hawajibike alafu zingatia ile mechi gomez hakua ktk benchi anausika vp na matokeo yale kuna watu moja kwa moja wanahusika kuanzia pale ktk bench na wachezaji na bila kupepesa macho mechi ile lawama zote za wachezaji wenyewe na ndio maana kocha ameamua kujitoa muhanga,kuna sababu ambazo nimemfanya aondoke si matokeo yale tu mojawapo ikiwemo vyeti vyake,kuondoka kwa kocha si kwa kufukuzwa tu kisa kufungwa sven aliondoka kaingiza timu ktk na bado akavunja mkataba ,na mm nakuambia amin usiamin kama angeshinikizwa kuondoka lazma angelisema ukwel ,kumbuka uchebe si ilikua kama mbona hakuficha ktu
Hiyo sio kweli, vyeti Hana kweli lakini kama Simba ingeshinda angefukuzwa kwa sababu ya vyeti? Wacha utani wako wewe.Mo ajatwit kocha aondoke ,alisema alieusika na matokeo aya hawajibike alafu zingatia ile mechi gomez hakua ktk benchi anausika vp na matokeo yale kuna watu moja kwa moja wanahusika kuanzia pale ktk bench na wachezaji na bila kupepesa macho mechi ile lawama zote za wachezaji wenyewe na ndio maana kocha ameamua kujitoa muhanga,kuna sababu ambazo nimemfanya aondoke si matokeo yale tu mojawapo ikiwemo vyeti vyake,kuondoka kwa kocha si kwa kufukuzwa tu kisa kufungwa sven aliondoka kaingiza timu ktk na bado akavunja mkataba ,na mm nakuambia amin usiamin kama angeshinikizwa kuondoka lazma angelisema ukwel ,kumbuka uchebe si ilikua kama mbona hakuficha ktu
Pole boss...ramli yako imebugi...jaribu kwenye mechi zijazo.Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.