Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Nimeongeza na offer kwa mungu hapo ili wenye imani zao wapende kufaSio bikra 74 ni bikra 72.
Tatizo tulio wengi tunamtafakari Mwenyezi Mungu kwa kumvisha sura ya mwanadamu, hilo ndiyo tatizo kubwa lililopo.Hizi imani zenu kila siku mtaambiwa kwa mungu kuna bikra 74,kwa mungu kuna rahaa,kwa mungu mapipa ya pombe,kwa mungu kuna kuimba na kucheza.
Huyu mungu kama ana mapenzi na dunia kwa nini asifanye stop ya dunia tujue moja.
Maana hata huko alishindwa kumzibiti mdogo wangu shetani.
mbona umekuja kwa shetani una muogopa munguBasi kwa akili yako unafikiri shetani ni dude kutisha sana ndomana ukaweka hiyo picha kwenye Id yako
Haya wewe unayependwaUnasoma maandiko au umejisikia kuongea tu
Kwa hiyo wewe na mungu mnaofisiJibu utalipata baada ya ya roho yako kuagana na mwili