Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Bangi mbaya, mwambie Baba yako angevaa condom angeisadia dunia kutoleta kituko duniani kama wewe.Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Yaani unaguswa unachanyikiwa unaachiwa, msoto unaenda kwa mwingineKila mtu atachanganyikiwa kwa mda wake .
Doooh....Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
AiseeeeeeHabari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Kindly unawezaje kuaza upya? Yaani Ile umepoteza kila kitu umebaki na uhai tuHahahaha hili hata mi lilinipata nilipokata tamaa ya maisha.
Baadaye nilitulia nikatafakari na kufikiria sana kuhusu haya maisha na nikaamua kuanza upya. Kwa kuwa una pumzi ya uhai anza upya mkuu. Format kichwa chako na mawazo yako.
Maisha yanatakiwa yaendelee.
Vijana wa siku hizi mmekuwa atheist na mambo yenu ndio yanakuwa magumu zaidi.Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Allahaulah Nini hiki [emoji15][emoji15]Habari wanajamiiforums?