Sio Kila jambo mnasingizia bangi, kwa ambao hawajawai kupitia maisha magumu hawawezi kumulewa huyu mtoa mada, ipo hivyo mtu anapopitia changamoto ambazo haoni ufumbuzi, lawama zote huangukia kwa huyo kiumbe wa kusadikika (Mungu) kuwa ndie sababu ya matatizo kumbe si kweli, pia wapo wanaolaumu wazazi wao, wengine wanalaumu mifumo(serikali).
Mungu anaehadithiwa na hizo dini hausiki na maisha ya viumbe dunian, ndiomaana haleti solution la matatizo kwa wafuasi wake wanaokesha kumuomba na kumuabudu, solution ni kupambana na changamoto na sio kuomba/kutegemea miujiza ya kusadikika