Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #121
Nahisi mngekuwa Mimi huenda mngefikia hatua hii.
Tunzeni maneno, Duniani hatulinganiš
Tunzeni maneno, Duniani hatulinganiš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kwa kweli vioja, duuh !Bangi mbaya, mwambie Baba yako angevaa condom angeisadia dunia kutoleta kituko duniani kama wewe.
Tatizo unamuabudi mungu asiye sahihi shida ndo inaanzia hapo ila ungekuwa unamuabudu Mungu alie sahihi alie kuleta hapa duniani wala usingelalamika hapa kama una akili Kb huwezi kunielewa!Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Huna mantiki yoyote na jambo lako unakesi na mungu kivipi?Huwezi elewa kwanini nina kesi na Mungu.
Endelea kutafakari
Hoja zako zinajenga maswali , huo ukakasi hujabainisha upo katika nini? Je,katika hizo sifa zake za upendo,uwezo na nguvu kwamba labda si kweli kwamba anazo hizo sifa? Au ukakasi upo kwenye dunia aliyoiumba kwamba labda hakuumba yeye ndio maana mabaya hutokea?Mungu Mwenye uwezo wote na Nguvu zote, Mwenye upendo wote asingeruhusu mabaya yatokee kwenye dunia ambayo ameiumba.
Mabaya kutokea kwenye dunia ambayo ameiumba wakati yeye ni mwenye Upendo hii inatia ukakasi
Na kama angekuwepo kila mtu angemuona n wala kusingekuwa na hizi sintofahamu.
Unatoa lawama bila ushahidi.Katika utafiti nilioufanya, Nimekuja na hitimisho kuwa wanaojifanya kumuamini Mungu kwa asilimia kubwa ndio wanaongoza kwa unafiki na nahisi hata dhambi wananizidi.
Mungu anajua alichonifanyia ndio maana bado nina kesi naye.
Hamuwezi kujua nyie, Kaeni kwa kutulia alaaaahš
Mlikua wengi takribani milioni na kila mmoja alikua na chance ya kuja duniani,... Ila wewe ulijitia kimbelembele.Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Sasa kama anaratibu mpango si kakupa akili na wewe zitumie akili zako kuratibu mipango yako. Mungu ameumba binadamu na akawapa utashi/akili za kuwaongoza katika maisha yao. Sasa tuzitumie akili zetu vyema.Anayeratibu mipango ya ulimwengu ni Nani?
Hapana mtumish hajashindwa wala hawezi shindwaMungu ameshindwa kwenye maisha yangu
Mungu hayupo mkuu. Ni muhusika wa kwenye hadithi ya kutungwa na watu tu.Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Ndugu yangu unatafuta balaa!!!! MUNGU hadhakiwi,nakuonya kama binadamu mwenzako,"ACHA KUTAFUTA BALAA!!!",,,,,,,shauri yako!!!Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Babako na mamako ndo wamekukosea kufanya matus ukatokea wwHabari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Kazi hiyo alitakiwa kuifanya Mungu, ya kumkumbusha mzazi wake kuvaa kondom au kumwaga nje...Bangi mbaya, mwambie Baba yako angevaa condom angeisadia dunia kutoleta kituko duniani kama wewe.
First born wetu dada etu mkubwa AKIWA ndio kwanza kaanza utumishi SERIKALI AKIWA na 24 yearsHahahaha hili hata mi lilinipata nilipokata tamaa ya maisha.
Baadaye nilitulia nikatafakari na kufikiria sana kuhusu haya maisha na nikaamua kuanza upya. Kwa kuwa una pumzi ya uhai anza upya mkuu. Format kichwa chako na mawazo yako.
Maisha yanatakiwa yaendelee.
.Mungu hayupo mkuu. Ni muhusika wa kwenye hadithi ya kutungwa na watu tu.