Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Nahisi mngekuwa Mimi huenda mngefikia hatua hii.

Tunzeni maneno, Duniani hatulinganišŸ™
 
Tatizo unamuabudi mungu asiye sahihi shida ndo inaanzia hapo ila ungekuwa unamuabudu Mungu alie sahihi alie kuleta hapa duniani wala usingelalamika hapa kama una akili Kb huwezi kunielewa!
 
Huwezi elewa kwanini nina kesi na Mungu.

Endelea kutafakari
Huna mantiki yoyote na jambo lako unakesi na mungu kivipi?

Thibitisha kuwa mungu yupo.

Unakuwaje na kesi na kitu/ mtu asiyetambulika,hujawahi kumuona, huna ushahidi wowote tangible...ndomaana tunakwambia wewe una MENTAL ILLNESS,wahi MIREMBE.

Kama unashupaza shingo nenda mahakamani huko ndo wanatoa hukumu,watakusaidiašŸ¤
 
Hoja zako zinajenga maswali , huo ukakasi hujabainisha upo katika nini? Je,katika hizo sifa zake za upendo,uwezo na nguvu kwamba labda si kweli kwamba anazo hizo sifa? Au ukakasi upo kwenye dunia aliyoiumba kwamba labda hakuumba yeye ndio maana mabaya hutokea?

Kwanini unadhani ilipaswa kuwa ni lazima yeye kuonekana kila mtu amuone? Hizi sintofahamu ziko nje ya uwezo wake na zinamuathiri?
 
Unatoa lawama bila ushahidi.
 
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mlikua wengi takribani milioni na kila mmoja alikua na chance ya kuja duniani,... Ila wewe ulijitia kimbelembele.

Basi ungewaachia wenzio nafasi.

Mkuu unauhakika kua haikua ridhaa yako kuja duniani... 😁😁😁Kwa taarifa yako hata mama yako ni wewe ndio uliemchagua na wala sio mzee.
 
Anayeratibu mipango ya ulimwengu ni Nani?
Sasa kama anaratibu mpango si kakupa akili na wewe zitumie akili zako kuratibu mipango yako. Mungu ameumba binadamu na akawapa utashi/akili za kuwaongoza katika maisha yao. Sasa tuzitumie akili zetu vyema.
 
Mungu ameshindwa kwenye maisha yangu
Hapana mtumish hajashindwa wala hawezi shindwa

Hajawahi acha kumjibu mtu maombi yake

Unafaa uwe imara kama mlima piga moyo konde MUNGU MWENYEZI ni MUNGU mwenye nguvu
 
Mwenye namna kumpa msaada huyu jamaa afanye. Tushuhudia nyuzi kama hizi mara kibao na baadae ikiwa serious.

Huku sisi wengine tukiendelea kumtafuta ndugu Danstan Daudi Mutajura, wengine mumpe msaada huyu jamaa.

Mungu wabariki waTanzania wameteseka saaaana.
 
Mungu hayupo mkuu. Ni muhusika wa kwenye hadithi ya kutungwa na watu tu.
 
Ndugu yangu unatafuta balaa!!!! MUNGU hadhakiwi,nakuonya kama binadamu mwenzako,"ACHA KUTAFUTA BALAA!!!",,,,,,,shauri yako!!!
 
Babako na mamako ndo wamekukosea kufanya matus ukatokea ww
 
First born wetu dada etu mkubwa AKIWA ndio kwanza kaanza utumishi SERIKALI AKIWA na 24 years

Alianza kuugua akalazwa NILIMWOMBA MUNGU NA NIKAMWAHIDI DADA ASIFE...DADA AKAFARIKI..NI KIPINDI AMBACHO..

NILI LIA MACHOZI KAMA MTOTO NIKAKEMEWA/ KATAZWA KUA WANAUME HAWALIAGI...NIKAWA NALIA KWENYE MOYO NA KISIRI SIRI KWA MUDA WA MIAKA MIWILI..NILIKUFURU NA KUMTUKANA SANA MUNGU..

ILA BAADAE NILIKUJA KUSOMA HADITHI ZA MASWAHABA WA MTUME MUHAMAD "" VIJANA SABA WA PANGONI""

HII HADITHI ILINIJENGA SANA JAPO MIMI NI MKRISTO NIKABADILI MTAZAMO KUHUSU KIFO..

MUNGU YUPO NA NAMPENDA SANAA...ILA SASA NILISHA PONA YALE MAUMIVU..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…