Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Mkuu fanya juu. Chini utuletee uzi hapa
 
Watu wana uwezo mkubwa sana wa kutunga hadithi za kuwaliwaza.

Kwenye saikolojia kuna kitu kinaitwa "coping mechanism".

Habari ya Mungu ni coping mechanism muhimu sana, imetusaidia kupata faraja, kama wewe hapo, kwenye sehemu ambazo hatuna majibu.

Lakini ukweli kwamba habari hii inatupa faraja, haimaanishi kuwa ina ukweli.
 
Kiranga kwema mkuu...
 
Mkuu fanya juu. Chini utuletee uzi hapa
Mpaka nimekua mtu MZIMA nilikua na Imani kua SISI FAMILIA YETU HATUPATI MISIBA WALA HATUFI..MISIBA INAWAPATA WATU WENGINE..

DADA ALIUGUA WIKI MBILI VIDONDA VYA TUMBO
KWANZA NILIKATAA KUA DADA AMEFARIKI...NILIPO ONA JENEZA LIMELETWA KWENYE KUAGA NIKAONA AMELALA..

NIKAWA NASEMA HII NI NDOTO NTAAMKA LAKINI WAPI...TUNASAFIRI KWENDA KIJIJINI...JENEZA LINASHUSHWA TUNAFUKIA SIAMINI..

NILIJUA DADA AMETOKA,/KASAFIRI NA ATARUD..DADA NDIO ALIKUAGA MENTOR WANGU KANIFUNDISHA MATHEMATICS,PHYSICS, BIOLOGY, CHEMISTRY.
HAPO UKATOKEA MGOGORO WA MIMI NA MUNGU..NIKAWA NATUKANA...NIKAACHA KWENDA IBADANI..NIKAHOJI MUNGU GANI HUYU? TUKANA KILA TUSI ULIJUALO WEWE

SITOKUJA UMIZWA KAMA NILIVYO UMIA MSIBA WA DADA..

NILIPONA BAADA YA MIAKA MIWILI KUPITA NIKAANGALIA ""HADITHI YA MTUME MUHAMMAD VIJANA SABA WA PANGONI""

NAMWAMINI MUNGU YUPO NDIO MWEZA WA YOTE NA KATIKA YEYE NDIPO KUNA HATMA ZETUU
 
Una undugu na Yeriko Nyerere? Umeandika pumba sana.
 
Siku moja uta ihubiri injili ya YESU KRISTO kua ni bwana na mwokozi wa Maisha yetu..
Wapo watu walikua na mioyo migumu Kama FARAO kina SAULI Ambae baadae akawa MTUME PAULO ni Jambo la muda TU.
 
Daaah mkuu kweli umepitia.....
Sasa mkuu kuna mambo ukipitia lazima ukae chini ujiulize kuna muumba au laah..

Ila mkuu naomba ukipata mda msikilize jamaa anaitwa dizasta vina ana nyimbo yake unaitwa dear father nahisi...

Kuna kitu utapata mkuu.
Ila kwa hiyo stage uliyopitia imekufanya uwe strong sasa
 
Mpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako utakombolewa.
 
Hii barua yako ilibidi ipitie kwa nabii mwamposa au geo davie
 
UTakua una shida mahali. Mental health is apparently a major concern. Huu uzi umeleta huku kwa mantiki ipi? Mungu unaemlalamikia yupo huku JF?
Moderator Muwe mnapitia nyuzi. Nyingine hazina maana yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…