Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,063
Shibe mbaya sana aiseeeee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ukristo siyo dini na badala yake ni mtu aliyeokoa?Mkristo ni mtu aliyempokea YESU (Okoka) kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake.
Simple reasoning ipi imetoa hitimisho lipi?Sikubaliani na wewe hapa. Huwezi kufanya hitimisho kwa a such very simple reasoning
Ukweli ni kwamba kuna mengi hatujui.Ushasema hakuna mungu,sasa je,msimamo wako ni upi baada ya kutokuwepo mungu ama ukweli ni upi?
Ukweli siku zote huwa upo tu,sasa tukisema kwamba wazo la kuwa kuna mungu linapotosha ukweli..ndipo napouliza ukweli ni upi ambao unapotoshwa na wenye kusema kuna mungu?
Maana kusema tu hakuna mungu haitoshi.
Sayansi ni nini?Kwani hata sayansi ilianza kuandikwa na muislamu wa kiarabu anaeitwa Ibn-Alhaitham mwaka 1021. Ukitaka kujua mengi kuhusu hili ingia google halafu andika kitabu chake kiitwacho:" Book of Optics"
Suala si kujua mengi.Ukweli ni kwamba kuna mengi hatujui.
Tuyatafutie majibu kwa uchunguzi.
Suala si kujua mengi.
Je,wewe binafsi ni uchunguzi gani hadi sasa umefanya kujua ukweli ambao ndiyo ulipaswa uelezwe badala ya kuelezwa kuwa kuna mungu? au labda umeshawahi kuchunguza kuwa pengine huyo mungu yupo ila watu wamekosea kumuelezea?
maana kama hujui unachokitafuta huwezi kukiona.
Nahitaji hivi vitabu mkuu, navipataje?Kuratibiwa maana yake nini?
It is possible for complexity to arise from simplicity, computer algorithms and mathematical facts show that.
In fact, perfect equilibrium is always attached to nothingness.
So, if there is a perfect God, that God must be nothingness, because that is the epitome of perfection.
Anything that deviates from nothingness, deviates from perfection.
That is another way of saying and showing God does not exist.
Because he is too perfect to exist.
We are lucky to be imperfect.
Our imperfection is what allow us to exist.
For more see "Why Does The World Exist?" by Jim Holt
An even more interesting book is "A Universe from Nothing" by Lawrence M. Krauss
I enjoyed both immensely, the later more so.
Sio kila siku Quran na Biblia tu.
![]()
![]()
Nicheki PM.Nahitaji hivi vitabu mkuu, navipataje?
Walikuwa wanaomba kila wanalohitaji na wanapata,huoni kama kuna uhalisia hapaUsahihi wa wazee wetu ni upi katika kumuabu Mungu? au kwa sababu tu ni wazee wetu?
NimekutextNicheki PM.
KENZY
Kwanza ninaposema kafiri simaanishi ni adui yangu mimi ila namaanisha ni mtu anaenda kinyume na maamrisho ya mungu.
Kwa hiyo mimi ninaamini wazi wakiristo ni makafiri.
Pili mungu hampi mtu adhabu mpaka amuulize suala hili jee hawakukujia minabii na mitume kukuonya ili utake msamaha kwangu na nikusamehe.Kwa hiyo mungu ana muadhibu mtu kwa kujifanya kwake anajua sana zaidi kuliko huyo mungu.
hlf kuna haja gani ya kumbakiza shetani wanapoishi wapendwa wako huku ukijiita wewe ni mfalme wa amani ama wewe ni tumaini la wanyonge..?
Mimi naamini hivi mungu ni tumaini la wanaomuamini na si tumaini la wanyonge wasiomuamini,halafu pia mungu mwenyewe anasema hivi kila jambo jema linatokana yeye na jambo baya linatokana na nafsi ya mtu mwenyewe kwa maana hiyo mola wangu mimi ni mwema na hana mabaya.
Ahadi ya mungu ni ya kweli hivyo aliposema kila Kiumbe atamuonesha nija njema ili mwenyewe aifuate kwa hiari pasi na kulazimishwa basi atatimiza hivyo hivyo milele. Hivyo mungu hakuwa na haja ya kuvunja ahadi ya kumteketeza shetani bali alimuacha kwa sababu yeye amechagua njia yake anayotaka. hivyo atapata hukumu ya hicho alichokifuata na yule atakae mfuata shetani nae atakuwa katika njia hiyo hiyo .
na kwa mapenzi yake mungu hakumuacha mja wake bali alimletea mitume na kitabu ili kuwaongoza kwake kazi ya mitume si kulazimisha ni kutahadharisha watakaofuata ndio wamefuata na wasiofuata basi ndio wamechagua hivyo.
Tafuta ukweli ndugu kwa jinsi maelezo yako yanaonesha umekomea hapo hapo kuwa hakuna mungu,na unatumia muda na nguvu katika kuzidi kujihimalisha hapo hapo tu kuwa hakuna mungu na si vinginevyo.Ukweli uliopaswa kuelezwa ni hakuna Mungu.Mungu at the outset being mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Nimegundua kwamba unaweza kujua ukweli na uongo wa masuala mengi kwa elimination method, na kwamba hata usipopata jibu kamili la swali leo, unaweza kujongea (converge) kwenye jibu sahihi kama unaondoa uongo kwenye mlinganyo wako na unachambua ukweli.
Huu niugunduzi mkubwa sana kwa sababu unakusaidia kupunguza mambo ya kuangalia ili kupata jibu lako kamili.
Kwa mfano, natafuta square root ya namba 2.
Sijui namna ya kupata jibu la square root ya 2 moja kwa moja.
Lakini najua kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa kubwa zaidi ya 2.
Kwa hiyo mpaka hapo, bila hata ya kujua square root ya 2 ni nini, najua kwamba namba yoyote iliyo kubwa kuliko 2 haiwezi kuwa jibu sahihi.
Pia nikijua kwamba kila positive number ina positive na negative square root, najua kuna majibu mawili, moja positive na moja negative.
Pia najua kwamba 1 x1 = 1, kwa hiyo jibu langu litakuwa -+ namba fulani ambayo ipokati ya 1 na 2.
Kwa hiyo katika namba zote nime narrow down uchunguzi wangu kuuweka katika namba iliyo -+ kati ya 1 na 2 exclusive
Kwa elimination method hii hii nimeshaona Mungu wenu hayupo kwa sababu anaanguka nje ya test ya logical consistency.
Hii njia ya convergence inaweza kutumika kwenye mengi sana.
Na imeonyesha kwamba Mungu hayupo.
Ningeweza kukuambia kuhusu Heisenberg's Uncertainty Principle, quantum entanglement, wave particle duality, tiny breaks in space-time causality at the quantum scale, black hole decay, the heat death of the universe, relativistic time dilation etc.Tafuta ukweli ndugu kwa jinsi maelezo yako yanaonesha umekomea hapo hapo kuwa hakuna mungu,na unatumia muda na nguvu katika kuzidi kujihimalisha hapo hapo tu kuwa hakuna mungu na si vinginevyo.
Na ndiyo maana watu huona kusema kwenu hakuna mungu ni kama imani kwenu ambayo mnaitetea humu.
KENZY
Kwanza ninaposema kafiri simaanishi ni adui yangu mimi ila namaanisha ni mtu anaenda kinyume na maamrisho ya mungu.
Kwa hiyo mimi ninaamini wazi wakiristo ni makafiri.
Pili mungu hampi mtu adhabu mpaka amuulize suala hili jee hawakukujia minabii na mitume kukuonya ili utake msamaha kwangu na nikusamehe.Kwa hiyo mungu ana muadhibu mtu kwa kujifanya kwake anajua sana zaidi kuliko huyo mungu.
hlf kuna haja gani ya kumbakiza shetani wanapoishi wapendwa wako huku ukijiita wewe ni mfalme wa amani ama wewe ni tumaini la wanyonge..?
Mimi naamini hivi mungu ni tumaini la wanaomuamini na si tumaini la wanyonge wasiomuamini,halafu pia mungu mwenyewe anasema hivi kila jambo jema linatokana yeye na jambo baya linatokana na nafsi ya mtu mwenyewe kwa maana hiyo mola wangu mimi ni mwema na hana mabaya.
Ahadi ya mungu ni ya kweli hivyo aliposema kila Kiumbe atamuonesha nija njema ili mwenyewe aifuate kwa hiari pasi na kulazimishwa basi atatimiza hivyo hivyo milele. Hivyo mungu hakuwa na haja ya kuvunja ahadi ya kumteketeza shetani bali alimuacha kwa sababu yeye amechagua njia yake anayotaka. hivyo atapata hukumu ya hicho alichokifuata na yule atakae mfuata shetani nae atakuwa katika njia hiyo hiyo .
na kwa mapenzi yake mungu hakumuacha mja wake bali alimletea mitume na kitabu ili kuwaongoza kwake kazi ya mitume si kulazimisha ni kutahadharisha watakaofuata ndio wamefuata na wasiofuata basi ndio wamechagua hivyo.
Una fantasy nyingi mjomba ,Duh.
Well ,umeuliza kama kuna andiko lolote linalo zungumzia Allah anaeneza chuki.
Nini maana ya chuki?
Je nikikupa ayah zaidi ya 20 ndani ya Quran zinazozungumzia chuki na violence among people ,Utaukana uislam ?
Pia,umesema Mungu hakuadhibu kama amekuletea mitume,Umeongea vizuri Mjomba ,
wewe umeletewa mtume gani? Kuna mtume yeyote ambae umeletewa wewe ?Usiniambie kuwa Muhammad ni mtume wako.
Unaielewa Quran Mubashara ikisomwa au wewe ni miongoni mwa wale ambao wamekariri lakini hawajui walichokariri kina maanisha nini .?
Halafu definition yako ya Kafiri sio sahihi.Unatakiwa kujifunza zaidi mjomba bila Fantasy .
Natumai hujasoma vizuri post yangu.Hemu isome full usisome heading tu.nakushauri kaa jenga familia yako ...Njia za Mungu hazichunguziki sana sana unajitengenezea mazingira ya yeye kuanza kukuchunguza na kukupa majaribu kama Ayubu !!! Tulia Fanya Maisha ...Uliza tu Baba yako mzazi katengenezwa nanani !! Usiende mbali kwa Mungu , wakati hujajua baba yako alitengenezwa nanani !!.