Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Leo saa kumi na moja jioni mzee Joseph Sinde Warioba, jaji, anawasilisha (kihutuba) rasimu ya katiba mpya kama ilivopendekezwa na wananchi wengi wa Tanzania. Nakuomba Mwenyezi Mungu umpe moyo wa ujasiri mzee wetu katiba kuwasilisha rasimu hii bungeni leo, uondoe pepo wote wabaya wasiotutakia mema sisi na nchi yetu. Amen.