Mungu mbariki Joseph Sinde Warioba.

Mungu mbariki Joseph Sinde Warioba.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Leo saa kumi na moja jioni mzee Joseph Sinde Warioba, jaji, anawasilisha (kihutuba) rasimu ya katiba mpya kama ilivopendekezwa na wananchi wengi wa Tanzania. Nakuomba Mwenyezi Mungu umpe moyo wa ujasiri mzee wetu katiba kuwasilisha rasimu hii bungeni leo, uondoe pepo wote wabaya wasiotutakia mema sisi na nchi yetu. Amen.
 
KARANGA UBUYU KARANGA UBUYU CHANGARA NGARA
CHIPSI KUKU
Na2ma salamu kwa peremende ya kifua,ndara ,dengu,uzile,mtindi,na mipira ya baskel vyote vilivopo dukan kwa mangi .
 
Huyu mzee ni kati ya wazee wachache sana wanaoheshimika na kuaminika katika nchi yetu - Mungu akulinde mzee wetu.
 
wadao nimesoma gazeti Kuwa warioba atawasilisha rasimu saa kumi Leo sioni lolote kuna mtu ana habari?
 
Kumi na moja kwa mujibu wa tangazo la mkuda wa the so called standard seven stupidi
 
naliamini jembe langu yani nitakavuomwona leo kama vile anamiaka 18 yani kajaa tele. wazushi mnaompinha jaji walioba kazi kwenu mtasuka au kunyoa
 
Back
Top Bottom