Mungu mkubwa bora Simba na Yanga hazikucheza dhidi ya Everton kwani nina uhakika wa 100% kwamba.....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mungu mkubwa sana na sana na inabidi ashukuriwe kwa Klabu za Simba na Yanga kutokupata nafasi ya kucheza dhidi ya Klabu ya Everton ya nchini Uingereza kwani nina uhakika wa 100% na tunavyojijua wenyewe ' Waswahili ' Timu moja wapo ingecheza basi akina Rooney, Scheiderlin na Lennon wangeokota sana ' Hirizi ' pale Nationa Stadium.

Shukran sana Kwako Mwenyezi Mungu kwa ' kutuepushia ' Watanzania hii ' aibu ' ambayo ingejitokeza kisha ' Waingereza ' wote wakatuona sisi ni wa ' hovyo hovyo ' original.
 
Kama ilivyokua kule kanda ya ziwa. Timu mgeni imeshindwa kumfunga magoli timu mwenyeji, wachezaji wakaamini golini kwa mwenyeji kuna hirizi ndio maana tunashindwa kufunga. ha ha ha ha
 
Najua kuwa ni ' Sup ' ila nimendika kwa Kiswahili ' Sapu ' ili ' kunogesha ' tu mtiririko wa content.
Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.

NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha
 
Simba na yanga mpira wao niwakwenye magazeti...(dimba champion na mwanasport) .wakiyafungia hayo magazeti simba na yanga zinashuka daraja
 
Acha ujinga wako ww au ili mradi uandike waweke hirizi ili iweje. Hili jamaa litakuwa zero brain std 7

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.

NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha
Una akili sana kama Prof Safari

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ajib lazima angewatungua

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wazungu wenyewe wanaroga.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Mpira wa Tanzania unachezwa kwenye majukwaa, media, mahakamani, vijiweni, mikutanoni(kamati za masaa) na kwa kiasi kidogo sana uwanjani.

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Nilidhani bonge la pointi kumbe kifurushi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.

NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha
Katika kiswahili neno hua haliishii na konsonati ni lazima irabu iwepo ili litamkike kwa uswahili wetu.

Mdau alikua sahihi, na kiswahili hakifi kwa kuifuata kanuni yetu
 
Watu wakikosa vya kuandika

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…