Mungu mkubwa bora Simba na Yanga hazikucheza dhidi ya Everton kwani nina uhakika wa 100% kwamba.....

Mungu mkubwa sana na sana na inabidi ashukuriwe kwa Klabu za Simba na Yanga kutokupata nafasi ya kucheza dhidi ya Klabu ya Everton ya nchini Uingereza kwani nina uhakika wa 100% na tunavyojijua wenyewe ' Waswahili ' Timu moja wapo ingecheza basi akina Rooney, Scheiderlin na Lennon wangeokota sana ' Hirizi ' pale Nationa Stadium.

Shukran sana Kwako Mwenyezi Mungu kwa ' kutuepushia ' Watanzania hii ' aibu ' ambayo ingejitokeza kisha ' Waingereza ' wote wakatuona sisi ni wa ' hovyo hovyo ' original.
Nyokoo

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.

NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha

Kwani hili jukwaa ni la Kiswahili Fasaha..??
Au wewe naye muhenga usiyetaka kubadilika nini ..?
 
kinachonipa raha ni kwamba kuna misemo imekwama, mfno yanga wangecheza jana ungesikia sis ni wa kimataifa na kidunia wewe endelea kula vumbi tu wewe ni wa mavumbini

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mungu mkubwa sana na sana na inabidi ashukuriwe kwa Klabu za Simba na Yanga kutokupata nafasi ya kucheza dhidi ya Klabu ya Everton ya nchini Uingereza kwani nina uhakika wa 100% na tunavyojijua wenyewe ' Waswahili ' Timu moja wapo ingecheza basi akina Rooney, Scheiderlin na Lennon wangeokota sana ' Hirizi ' pale Nationa Stadium.

Shukran sana Kwako Mwenyezi Mungu kwa ' kutuepushia ' Watanzania hii ' aibu ' ambayo ingejitokeza kisha ' Waingereza ' wote wakatuona sisi ni wa ' hovyo hovyo ' original.

Simba na Yanga ni timu za kipumbavu tu.....timu gani zisizo na maendeleo?
 
kinachonipa raha ni kwamba kuna misemo imekwama, mfno yanga wangecheza jana ungesikia sis ni wa kimataifa na kidunia wewe endelea kula vumbi tu wewe ni wa mavumbini

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app

Yaani hakuna timu chovu na ya kipumbavu kama Yanga, afadhali hata Simba wanaoweza kuwafunga waarab wakicheza nao. Yanga toka Uhuru mpaka leo hii linapokuja suala la kimataifa, they never go nowhere. Yaani wao furaha yao ni kupanda ndege tu na kutia hasara wadhamini. Wao wanafikiri mpira ni kucheza magazetini na redioni pamoja na kupigiwa promo mitaani.
 
Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.

NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha

Mkuu shida yako nini? Unajua unaniboa sasa? Utanichefua sasa hivi!
 
Back
Top Bottom