Power Benq
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 548
- 456
Hiki ulichoandika ni Kiswahili Fasaha?Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.
NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ulichoandika ni Kiswahili Fasaha?Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.
NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha
Ajib lazima angewatungua
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
NyokooMungu mkubwa sana na sana na inabidi ashukuriwe kwa Klabu za Simba na Yanga kutokupata nafasi ya kucheza dhidi ya Klabu ya Everton ya nchini Uingereza kwani nina uhakika wa 100% na tunavyojijua wenyewe ' Waswahili ' Timu moja wapo ingecheza basi akina Rooney, Scheiderlin na Lennon wangeokota sana ' Hirizi ' pale Nationa Stadium.
Shukran sana Kwako Mwenyezi Mungu kwa ' kutuepushia ' Watanzania hii ' aibu ' ambayo ingejitokeza kisha ' Waingereza ' wote wakatuona sisi ni wa ' hovyo hovyo ' original.
Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.
NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha
Mungu mkubwa sana na sana na inabidi ashukuriwe kwa Klabu za Simba na Yanga kutokupata nafasi ya kucheza dhidi ya Klabu ya Everton ya nchini Uingereza kwani nina uhakika wa 100% na tunavyojijua wenyewe ' Waswahili ' Timu moja wapo ingecheza basi akina Rooney, Scheiderlin na Lennon wangeokota sana ' Hirizi ' pale Nationa Stadium.
Shukran sana Kwako Mwenyezi Mungu kwa ' kutuepushia ' Watanzania hii ' aibu ' ambayo ingejitokeza kisha ' Waingereza ' wote wakatuona sisi ni wa ' hovyo hovyo ' original.
kinachonipa raha ni kwamba kuna misemo imekwama, mfno yanga wangecheza jana ungesikia sis ni wa kimataifa na kidunia wewe endelea kula vumbi tu wewe ni wa mavumbini
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hapo haujaandika kwa kiswahili ila umeandika tamshi la kiingereza kwa kiswahili.
NB:Namna hivyo ndivyo tunavyovuruga kiswahili fasaha
Kwani ukienda chuo sup ni lazima??Unauliza ' Sapu ' Chuo Kikuu?
Nyokoo
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app