GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mungu mkubwa sana na sana na inabidi ashukuriwe kwa Klabu za Simba na Yanga kutokupata nafasi ya kucheza dhidi ya Klabu ya Everton ya nchini Uingereza kwani nina uhakika wa 100% na tunavyojijua wenyewe ' Waswahili ' Timu moja wapo ingecheza basi akina Rooney, Scheiderlin na Lennon wangeokota sana ' Hirizi ' pale Nationa Stadium.
Shukran sana Kwako Mwenyezi Mungu kwa ' kutuepushia ' Watanzania hii ' aibu ' ambayo ingejitokeza kisha ' Waingereza ' wote wakatuona sisi ni wa ' hovyo hovyo ' original.
Shukran sana Kwako Mwenyezi Mungu kwa ' kutuepushia ' Watanzania hii ' aibu ' ambayo ingejitokeza kisha ' Waingereza ' wote wakatuona sisi ni wa ' hovyo hovyo ' original.