Amina MkuuTunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata huko Mitaani, Magerezani na popote pale, mwaka huu usipite bila Tanzania kupata ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Utatuma jeshi la malaika zako kuja kufutilia mbali udhalimu na uovu wa kila aina uliopo katika Nchi hii.
AminaTunakushukuru, tunakusifu, tunakuabudu na kukutukuza Mungu mkuu.
Tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye haki, uitazame kwa macho yako yenye huruma Nchi yetu Tanzania na Watanzania wote.
Tunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata huko Mitaani, Magerezani na popote pale, mwaka huu usipite bila Tanzania kupata ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Utatuma jeshi la malaika zako kuja kufutilia mbali udhalimu na uovu wa kila aina uliopo katika Nchi hii.
Amina.
Ameeen! Mungu akubariki sana kwa sala nzuri ya kuikomboa nchi hii!Tunakushukuru, tunakusifu, tunakuabudu na kukutukuza Mungu mkuu.
Tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye haki, uitazame kwa macho yako yenye huruma Nchi yetu Tanzania na Watanzania wote.
Tunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi waliyoyapata na wanayoendelea kuyapata huko Mitaani, Magerezani na popote pale, mwaka huu usipite bila Tanzania kupata ukombozi wa kweli wa Nchi hii. Utatuma jeshi la malaika zako kuja kufutilia mbali udhalimu na uovu wa kila aina uliopo katika Nchi hii.
Amina.
AminaWale wenye kudhulumu haki za watu, wale wenye kupora rasilimali za nchi na kuwagawia waarabu kwa faida zao, Baba tunaomba neno lako likapate kutimia kama yule tajiri aliyesemea moyoni kuwa ana kila kitu, sasa atulie tu na kula starehe; lakini Bwana akamnenea, umpumbavu wewe maana usiku wa leo naihitaji roho yako.
Tunaomba walio wako wazidi kuukemea uovu, na mkono Wako wa ulinzi na neema, tunaomba ukawe juu yao dhidi ya wale wadhulumu haki, kwani WEWE ni Bwana wa haki, tangu kale na hata milele.
Amina.Amina