Mungu na Binadamu tumegawanyika mara tatu

Wameandika wapi ? kwamba hakuna aliyemuona Mungu.

Hizi ni pumba zako binafsi

there is the eye of the spirit
Shida ndio hii sasa biblia mnasoma kipande kidogo alafu akili mnaweka pembeni.Hivi Mungu unamjua au unanletea habari za ulokole hapa.Sikia ni kwambie sio mtume au nabii au Yesu kipindi chake duniani alimuona Mungu.Nakwambia hivi sio kwa hisia bali ulijue kuanzia leo.Nakama tunapangwa madaraja kwa viumbe wote chini ya jua basi jua mimi nipo juu ya kiumbe yoyote yule ndio maana nikieleza jambo sihitaji kurejea kifungu cha biblia maana nachojua hakuna namna utaweza elewa kama jambo jepesi hivi umekosa jibu.

"the eye of the spirit"(ndio nini hiki?) najua unasema jicho la kiroho sio?.Jicho la kiroho(kama walokole wasemavyo) si jambo jepesi ndugu.Spiritual awareness sio suala la kuamka tu ukawa nalo(only the chosen one has this blessing.Je,wewe ni miongoni mwao?.Jibu ni hapana)
 
Wameandika wapi ? kwamba hakuna aliyemuona Mungu.

Hizi ni pumba zako binafsi

there is the eye of the spirit
Yahweh then spoke to you from the heart of the fire; you heard the sound of words but saw no shape; there was only a voice.Deuteronomy chapter 4 verse 12(explain this).

From the book of exodus:chapter 33 verse 20 .But my face',he said',you cannot see,for no human being can see me and survive'.(explain this again)

Eleza ni mtume yupi au nabii yupi alimuona Mungu and tell me how he described God.(I mean give me description of God)
 
“Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.”
— Yohana 1:18 (Biblia Takatifu)
 
Unataka kujua kama waliokuwepo kipindi cha Yesu walimuona Mungu. ?

Filipo aliomba kumuona Baba na akaoneshwa. Otherwise kama huamini andiko la biblia.
“Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.”
— Yohana 1:18 (Biblia Takatifu)
unaweza kujaribu kuona kinachosemwa hapa?


Yesu ni Bwana na Mwokozi
 
mimi nafikiri tusiendelee kubisha maana wewe sijui kilichokuleta hapa ni nini.
i think you have demonic spirit ya kupenda ligi zisizo na faida.

Leta hoja zako kwa utulivu na moja moja, ukiandika andika bila mpangilio hatuta elewana.
Hujui Elimu yangu.
Nilichoandika sio mwisho wa elimu na hekima niliyonayo.
I was chosen. if you don't know
 
“Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.”
— Yohana 1:18 (Biblia Takatifu)
Biblia ikisema kuona au kusikia inaweza inaweza kumaanisha Jicho la rohoni au Jicho la nyama.

Kwahiyo unatakiwa kuelewa ni jicho gani linaongelewa hapo.

Mungu anaposema hakuna anayeweza kumuona akaishi, ni pale atakapojitokeza na utukufu wake wote.

Na pia unapoona wameandika Mungu au Bwana, unatakiwa ujue anaongelewa Mungu Baba au ni Mungu mwana anazungumziwa.

Na nilichosema mimi ni kwamba, mwili wa Yesu roho wa Mungu alikaa na kuutumia.

Kinywa cha Yesu, kilitumika kuongea na roho zaidi ya moja.
Ni swala la Kutulia na kusoma tu,
Ningesema niweke maandiko yote ingekua ngumu sana hata mada yangu kueleweka, kwahiyo twende taratibu ... kuona huko ni kumuona kwa kutumia nini au akiwa wapi na muda gani. Unatakiwa kujua.

Hakuna linalomshinda Mungu, ndio maana aliweza kuja dunia bila dunia kupasuka vipande vinne na alipoondoka aliondoka kwa utulivu, kwa escort ya Holy spirit kusudi dunia isipasuke.. kukawa na giza duniani kwa masaa matatu na dunia ilitetemeka, angeweza kuondoka kwa sekunde moja tu.
 
Kuhusu ligi siwezi fanya ligi na wewe sema uache kupotosha watu.Kama biblia inakushinda kuelewa tulia soma tena.Demonic spirit unaijua au ndio unaandika tena mambo zenu walokole mkishindwa jambo mnachokiona ni demons nasio Mungu
 
Kuhusu ligi siwezi fanya ligi na wewe sema uache kupotosha watu.Kama biblia inakushinda kuelewa tulia soma tena.Demonic spirit unaijua au ndio unaandika tena mambo zenu walokole mkishindwa jambo mnachokiona ni demons nasio Mungu
umetumwa na nani ?
 
umetumwa na nani ?
mtumishi, achana naye huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…