Mungu ndiye shetani(?)

Unadhani kwa akili yako wewe mwafrika ambaye hadi pini umeshindwa kutengeneza unategemea utamjua Mungu
Hawezi kujibu hili,
Anapelekeshwa pelekeshwa TU
Ndo maana tunazd kua maskini TU
Na waliotuletea dini nao washatuona wapumbavu ndo maana sahv wanatuletea na ushoga kuzid kutudharau zaidi.
 
Ni MTU Wa ajabu anayeweza kutengeneza gari halafu akalibeba Badala ya gari kumbeba.
Au ametengeneza mfumo Wa ulinzi kwenye NYUMBA yake halafu anakesha Ili Wezi wasivami?
 
Shetani ameshaudhibiti ubongo wako, maskini. Sio wewe!
 
Bora utulie tu kama jinga yasije kutokea makubwa
 
sir God ana tuchezea movie ya squid game
 
Wewe sio Shetani ila akili za shetani ndio unatumia, sasa hapo uchague tu uendelee kutumia za shetani au Mungu
 
Hayupo binadamu hata mmoja ambaye huwa anakufa hapa duniani pasipo Mungu kuwa ameruhusu. Hapo ulipo wewe, hata aje mtu adondoshe bomu la Nuklia, kama Mungu hajaruhusu, utaendelea kuwepo hata miaka 100 ijayo.

Mungu wetu ana sifa kuu zifuatazo:
  • Anaweza yote
  • Anajua yote
  • Yupo Kila mahali
  • Ni wa kuabudiwa
  • Anaumba
  • Anafufua
  • Anafanya upya
Hizi ni sifa pekee za Mungu, na hakipo kiumbe kingine chenye sifa hizi, unless under forged mechanisms

Mungu pia ana TBS zake ambazo siyo zile ulizonazo wewe. Kifo chako wewe ni mwanzo wa maisha mengine kwenye scale ya maisha aliyokuwekea Mungu ambayo yana mwanzo lakini hayana mwisho. Ni wakati Mungu anapenda akutoe kwenye phase moja ya maisha na kukuingiza kwenye phase nyingine, hilo siyo juu yako. TBS zake si TBS zako. Wewe unazo zako na yeye pia anazo za kwake
 
Hawezi kujibu hili,
Anapelekeshwa pelekeshwa TU
Ndo maana tunazd kua maskini TU
Na waliotuletea dini nao washatuona wapumbavu ndo maana sahv wanatuletea na ushoga kuzid kutudharau zaidi.
Hakuna mtu ambaye ameshikiwa fimbo kuwa mkristo kama mtu hapendi ukristo ni anaachana nao uzuri Tanzania ukihama dini huchukuliwi hatua za kinidhamu kama uarabuni

Ukishaona mtu anahaingaika na jambo ambalo na ana option ya kuliacha ni wazi hilo jambo bado linamkereketa
 
Usiilaumu dini kwa umaskin wa afrika utakua akili huna samahan kama nimekuudhi kwa sababu shukuru hata hizo dini zimekuletea elimu na afya mwafrika alikua anaishi maisha primitive ashukuru dini hasa ya ukristo imemtoa kwenye giza
 
PALE WALIPOSHIRIKIANA KUMSHUGHULIKIA AYUBU ILI KUONESHANA UBABE PALE MDO NILIJUA MUNGU NI JAMBAZU
I NA SHETANI NI JANGILI.eti mtese lakini usimuue, kumbe jangili lina uwezo wa kuua aisee.
 
USHETANI hupimwa kwa ile tabia ya kupingana na Kile kinachotakiwa siyo kwa kuua.( Rejea: Daudi, wanajeshi, MUSA, PAULO, nk).
Sasa wewe umeumbwa na umewekwa duniani na MUNGU. Hivyo ni lazima ufuate masharti unayoambiwa na siyo kinyume chake.
Na isitoshe kitu kilichotengenezwa kinaweza kubadilishwa kuwa chochote na yule aliyekitengeneza.
SHETANI naye ni kiumbe ambaye UHURU wake unategemea uamuzi wa MUNGU na hajaumba chochote. Kwahiyo, siyo sahihi kumweka Mwizi na mmiliki kwenye mizania sawa.
KIFUPI; Shetani hana nguvu yoyote, isipokuwa anapewa mamlaka ya kuwajaribu binadamu ila maamuzi ya Mwisho yanakuwa ya MUNGU ( Ni sawa na wakili mahakamani anapiga mbwembwe nyingi sana, ila maamuzi ya Mwisho ni ya HAKIMU).
Kwahiyo, binadamu wote wametenda dhambi, na hivyo wanaokolewa na REHEMA YA MUNGU.
 
Sswa, ndo maana unaambiwa majina ya watakaoingia mbinguni(ambako sielewi hasa ni wapi),yalishaandikwa kwenye kitabu cha uzima, kabla hata dunia haijaumbwa😂🙆‍♀️,
.kama sikosei idadi ni 144🤷🏼‍♂️.. yaani katika wanadamu bilion 100,, wanatakiwa 144 tu,, 😂😂
 
Vitaje hivyo vifungu

Ngoja nikutafsirie hii kwanza😂.
Musa akamwambia mungu, "kwanini unanifanyia hivi, kipi nimekufanyia kibaya hadi unitende hivi?,, Hivi hawa(waisrael),nimewazaa mie, Je mimi ni mama yao, kwa nini unanitupia majukumu yasiyonihusu? Yaani unataka mimi niwabebe hawa watu kana kwamba mimi ni housegali, yaani niwapeti peti mpaka nchi ya ahadi, uliyowaahidi babu zao,,
Eti niwape nyama, mimi nitapata wapi nyama za kuwapa watu wote hawa?,,
Mie siwezi bana, THIS IS TOO MUCH,,, kama hivi ndo umepanga kunifanyia, NI BORA UNIUE TU,, 🙆‍♀️,NIMECHOKA, NIUE,, "
MUNGU akasema,"................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…